Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

mleta mada ni vyema ukimpinga mtu kwa hoja za ukweli na sio kuleta hoja zilizofinywangwa na tope la uongo.
lakini ndio hivyo tena ndio aina ya siasa ulizozichagua sidhani kama kwa umri ulionao unaweza kusaidiwa ili ufanye siasa safi.

mbona ukifanya homework yako vyema unaweza tu ukaja na hoja za maana unazoweza kuzitumia kumpinga dr. mahiga kuliko hizi hoja nyepesi ulizoleta hapa?
 
Ila kuna kuna humu jamiiforum kuna mambo, watu wanahitaji kuwa na weledi Sana katika kuchambua threads na hoja za watu, coz ukiwa bendera unapotea.

Humu kuna #Team kibao....kila mmoja anakuja la kwake with 2 things kumjenga mtangaza nia wake na kuwabomoa wengine.

Mengi yatatokea kwa kuwa huku tuna
1. Team Lowassa
2. team membe
3. Team Wasira
4. Team mahiga
5. Team mwigulu
6. Team makamba
7. Team mwandosya
8. Team magufuli
9. Team sitta
10 .Team makongoro
11. Team Nyalandu
12. Mizengo pinda
13. Ukawa- Hapa kuna
# mbatia
# Dr silaa. mbatia na makaidi na wengine.
14. Team Gharib Bilal
15 . Team mkulima wa kasulu.

Team kibaooo km nimesahau weka hapa tuzijue,

My take; Tutegemee mengi ila tuwe wajanja wa kuyachambua...

Umetoa wazo/tahadhari nzuri sana. Ila bottom line kwa wakati huu sisi humu JF wala hatuna madhara yoyote. Mgombea atapitishwa kwa mujibu wa taratibu zao ndani ya chama chao. Michango/upambe/uchafuzi wa watu humu ndani sidhani kama una madhara yoyote.

On light note; iwe buju familia nyingine ziko sooo lucky sijui blessed😕😕
 
Mimi sina mtazamo wa kichama lakini huwa ninajaribu kutazama ukweli uliopo mezani.

Dr Mahiga na uraisi, achambuliwe kwa vigezo halisi,sifa na uwezo wake. Habari ya familia yake sijui wana status gani na nini zinatutoa nje ya mada. Maraisi wetu wote waliopita, aliyekuwa na stable marriage ambaye angediriki hata kusimama na kwa ujasiri duniani ni Mwal. Nyerere tu!. Ambaye hata kama kulikuwa na mambo mambo yalikuwa ya kawaida sana na yanazungumzika.

Wengine wote waliofuata usanii tu!. Nani asiyejua dramma za ndoa za maraisi waliofuata? Suala la ndoa yake na mahusiano yake ndani ya familia, kwa kuwa hayajawahi kuwa vigezo vya kuzingatiwa naccm, lisianzie kwa Mahiga.

Elimu kwa watoto wake, tukiwaona wako Classy kwamba si wenzetu, tutakuwa hatutendi haki. Hakuna Mtanzania aliyezuiliwa kusomesha watoto wake. Ku attack mafanikio yao ni dalili ya wivu na failure. Ninaita tuwe na mioyo ya kujifunza kwa wanaofanikiwa ili tufuate njia sahihi.

Wakati tunapiga kelele kuhusu masuala ya elimu, ccm ndio mnaleta division 5, BRN, na shule za kata zisizokuwa na elimu na mnalazimisha kwamba hii ndiyo standard yenu, sasa mkubali matokeo. Lini watoto mnaotaka kuwasomesha kwenye Kawambwa na Mulugo National Academies watakuwa na uwezo hata wa kuelewa na kufikiri kama hawa watoto wa Mahiga?

Wivu hauwasaidii kabisa. Kikubwa kubalini kwamba ccm imeua taifa, sasa muwe wakali kwa sera za elimu, mboreshe elimu na mazingira ili mpate graduates kama hawa. Siyo hawa wa UDOM, majinga majinga yananunuliwa kwa ubwabwa na kubebeshwa mabango ya kuunga mkono ufisadi, halfu mwisho wa siku yanakosa kazi yanaanza kusema ajira inabagua. Wapi?

Niwape sir. Watoto wa Mahiga wamelelewa na kusomeshwa na huyu Binti yangu Janeth mama yao. Janeth tangu akiwa mtoto mdogo alikuwa ni msichana mchapa kazi, na anayependa ukweli na uadilifu. Tangu anasoma shule alikuwa kipenzi na msikivu sana kwa baba yake Rafiki yangu Mr. Mbene ambaye aliwashape kuishi maisha standard tangu nyumbani.

Mahusiano yake Janeth na Mahiga siwezi kuyaongelea ila watoto wamelelewa na Janeth peke yake. Binti yangu Janeth hakuwa na kipaumbele zaidi ya kuhakikisha watoto wake wanapata elimu bora na kila alichokifanya kililenga hapo. Janeth amefanya kazi sehemu nyingi lakini hakuna sehemu ambako bidii na uadilifu wake havizungumzwi. Hajawahi kusikika kaiba wala kafisadia mtu. Amejenga nyumba yake taratibu sana wakati akiishi mle mle lakini Elimu ya watoto kwanza.

Sasa niyini mnaokaa hapa kuanza kuona wivu, ni vizuri kwanza mngeelekeza chuki zenu kwa ccm iliyoua elimu na bado inazidi kujenga taifa la vilaza kama ilivyo ccm yenyewe. Nidpo mjua kuchagua ccm ni kuendelea kutengeneza makaburi yenu n awatoto wenu na mwisho wa siku hakuna mtu anawapa kazi kwa kuwa less competitive halafu mnasalia kupiga miayo.

Janeth Mbene si fisadi wala hana kashfa ya wizi woowte. Amesomesha watoto wake kwa kujifung amkanda, tena akiamnini katika ndoto zake tabia aliyojifunza kwa Mzee Wake.

Na kama Kungekuwa na kura ya first ladies, basi Janeth Mbene angepata kura yangu kwa sababbu ninajua ufirst lady wake ungeleta impact kubwa sana kwa dunia si kama hawa fursa sawa, Msafirisha bia, wama na nini sijui.t

Kuhusu huyu Bwana Mahiga, na uwezo wake wa kuongoza taifa, nitarudi kujadili baadaye, ingawa pia ni kupoteza muda kwa sababu raisi hatoki ccm.

LAKINI WIVU TUACHE. BADALA YAKE, TUJIFUNZE NAMNA YA KUBORESHA MAISHA YETU NA KUSIMAMA KATIKA KWELI BADALA YA KUFANYWA MAZEZETA YA CCM, MNAWAPIGIA MAKOFI WAKATI NCHI INAKUFA KWA KUWA TAIFA LA MAJUHA. ETI GRADUATES - BRN!.

Acheni kuelekeza hasira zenu kwa Janeth kwa kuwa amesomesha vizuri watoto wake, badala yake elekezeni hasira zenu kwa ccm kwa kuwanyima watoto wenu elimu!.
 
Mahinga kashakuwa maarufu.. Hata sisi tukiokuwa hatumjui kabisa tumemjua sasa
 
Mahiga makes low-key entry into the CCM nomination race
SHARE BOOKMARKPRINTEMAILRATING

Former Permanent Representative to the United Nations Augustine Mahiga announces his intention to vie for nomination as CCM's candidate for the Union presidency in Dar es Salaam yesterday. Right is his wife, Elizabeth PHOTO| SALIM SHAO

By The Citizen Reporters

Posted Wednesday, June 10 2015 at 08:15
IN SUMMARY

“Corruption was there even during Mwalimu Julius Nyerere’s time, but it is changing and advancing, and therefore we need to change tactics as well”
 
Acheni wivu; Mahiga ni mtanzania ana sifa za msingi kugombea Urais; iweje yeye leo asije jua matatizo ya watanzania wakati ni mhehe??? Kuishi na kufanya kazi Tanzania isiwe tiketi ya kuwa na mbinu za kuwatatoa watanzania katika lindi la umaskini. Ni wakati wa kuongozwa na watu wenye mtazamo tofauti wa kimaendeleo
 
All I know hatufai, hachakuliki hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 let alone kuwa rais wa watu milioni 50 na hatumtaki

nashauri aende akacheze GOLF na walevi wenzake pale Kawe.
 
Mimi sina mtazamo wa kichama lakini huwa ninajaribu kutazama ukweli uliopo mezani.

Dr Mahiga na uraisi, achambuliwe kwa vigezo halisi,sifa na uwezo wake. Habari ya familia yake sijui wana status gani na nini zinatutoa nje ya mada. Maraisi wetu wote waliopita, aliyekuwa na stable marriage ambaye angediriki hata kusimama na kwa ujasiri duniani ni Mwal. Nyerere tu!. Ambaye hata kama kulikuwa na mambo mambo yalikuwa ya kawaida sana na yanazungumzika.

Wengine wote waliofuata usanii tu!. Nani asiyejua dramma za ndoa za maraisi waliofuata? Suala la ndoa yake na mahusiano yake ndani ya familia, kwa kuwa hayajawahi kuwa vigezo vya kuzingatiwa naccm, lisianzie kwa Mahiga.

Elimu kwa watoto wake, tukiwaona wako Classy kwamba si wenzetu, tutakuwa hatutendi haki. Hakuna Mtanzania aliyezuiliwa kusomesha watoto wake. Ku attack mafanikio yao ni dalili ya wivu na failure. Ninaita tuwe na mioyo ya kujifunza kwa wanaofanikiwa ili tufuate njia sahihi.

Wakati tunapiga kelele kuhusu masuala ya elimu, ccm ndio mnaleta division 5, BRN, na shule za kata zisizokuwa na elimu na mnalazimisha kwamba hii ndiyo standard yenu, sasa mkubali matokeo. Lini watoto mnaotaka kuwasomesha kwenye Kawambwa na Mulugo National Academies watakuwa na uwezo hata wa kuelewa na kufikiri kama hawa watoto wa Mahiga?

Wivu hauwasaidii kabisa. Kikubwa kubalini kwamba ccm imeua taifa, sasa muwe wakali kwa sera za elimu, mboreshe elimu na mazingira ili mpate graduates kama hawa. Siyo hawa wa UDOM, majinga majinga yananunuliwa kwa ubwabwa na kubebeshwa mabango ya kuunga mkono ufisadi, halfu mwisho wa siku yanakosa kazi yanaanza kusema ajira inabagua. Wapi?

Niwape sir. Watoto wa Mahiga wamelelewa na kusomeshwa na huyu Binti yangu Janeth mama yao. Janeth tangu akiwa mtoto mdogo alikuwa ni msichana mchapa kazi, na anayependa ukweli na uadilifu. Tangu anasoma shule alikuwa kipenzi na msikivu sana kwa baba yake Rafiki yangu Mr. Mbene ambaye aliwashape kuishi maisha standard tangu nyumbani.

Mahusiano yake Janeth na Mahiga siwezi kuyaongelea ila watoto wamelelewa na Janeth peke yake. Binti yangu Janeth hakuwa na kipaumbele zaidi ya kuhakikisha watoto wake wanapata elimu bora na kila alichokifanya kililenga hapo. Janeth amefanya kazi sehemu nyingi lakini hakuna sehemu ambako bidii na uadilifu wake havizungumzwi. Hajawahi kusikika kaiba wala kafisadia mtu. Amejenga nyumba yake taratibu sana wakati akiishi mle mle lakini Elimu ya watoto kwanza.

Sasa niyini mnaokaa hapa kuanza kuona wivu, ni vizuri kwanza mngeelekeza chuki zenu kwa ccm iliyoua elimu na bado inazidi kujenga taifa la vilaza kama ilivyo ccm yenyewe. Nidpo mjua kuchagua ccm ni kuendelea kutengeneza makaburi yenu n awatoto wenu na mwisho wa siku hakuna mtu anawapa kazi kwa kuwa less competitive halafu mnasalia kupiga miayo.

Janeth Mbene si fisadi wala hana kashfa ya wizi woowte. Amesomesha watoto wake kwa kujifung amkanda, tena akiamnini katika ndoto zake tabia aliyojifunza kwa Mzee Wake.

Na kama Kungekuwa na kura ya first ladies, basi Janeth Mbene angepata kura yangu kwa sababbu ninajua ufirst lady wake ungeleta impact kubwa sana kwa dunia si kama hawa fursa sawa, Msafirisha bia, wama na nini sijui.t

Kuhusu huyu Bwana Mahiga, na uwezo wake wa kuongoza taifa, nitarudi kujadili baadaye, ingawa pia ni kupoteza muda kwa sababu raisi hatoki ccm.

LAKINI WIVU TUACHE. BADALA YAKE, TUJIFUNZE NAMNA YA KUBORESHA MAISHA YETU NA KUSIMAMA KATIKA KWELI BADALA YA KUFANYWA MAZEZETA YA CCM, MNAWAPIGIA MAKOFI WAKATI NCHI INAKUFA KWA KUWA TAIFA LA MAJUHA. ETI GRADUATES - BRN!.

Acheni kuelekeza hasira zenu kwa Janeth kwa kuwa amesomesha vizuri watoto wake, badala yake elekezeni hasira zenu kwa ccm kwa kuwanyima watoto wenu elimu!.

You can have a sophisticated explanation of something and be wrong
 
Kwanini tunapoteza muda jadili nonsense?
 
Na mie nasema jamaa hawezi kuelewa matatizo yetu kwa sahivi kwasababu ajenda zake na zetu havitengamani, havifanani katu. Hatumhitaji imported leader toka kwa watawala wa nje, tunamhitaji mwenzetu kama sisi

Nilipata wasaa wa kuongea na balozi Mahiga alivyokuwa anatuwakilisha Umoja wa Mataifa kwa weledi na uadilifu mpaka Tanzania tukapewa kiti katika baraza la Usalama na Umoja wa Mataifa.

Katika maongezi yetu, tukagusia masuala ya security. Wakati huo "War on Terror" ya George Bush ikikuwa imeshika hatamu.

Balozi Mahiga alinifungua macho na kunieleza kwamba, ingawa kukabiliana na ugaidi ni kipaumbele, lakini kuna watu wanakufa kila siku Afrika huko kwa sababu ya "food security". Kwa hivyo, alipigania habari za vitu kama food security zipewe kipaumbele sawa na kupigana na ugaidi.

Mtu kama huyu aliyejenga ushawishi na kukubalika mpaka Tanzania ikapewa kiti katika baraza la usalama la UN na kutetea maslahi ya nchi masikini humo, leo hii unakuja kusema kirahisi tu kwamba hawezi kuelewa matatizo yenu,bila hata kumjua na kujua kafanya nini, katoka wapi, kafikaje hapo alipo etc, unakuwa humtendei haki na unavunja moyo watendaji wengine wanaojitoa kufanya utumishi wa umma kwa dhati.

Mahiga alivyokuwa UN alikuwa anategemewa kusafisha mambo mara kibao watu kama kina Membe walivyokuwa wanaharibu kwa kukosa weledi hapo nyumbani.

Leo shukurani ya punda mateke.
 
Back
Top Bottom