Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

mimi nilikuwa simjui sasa nishamjua. Hatufai

inawezekana vipi balozi wa Tanzania avae suti ya dola elfu 10 na watu wanaona sawa?

Hafai huyu. Bora adam Malima
 
Naona CCM wanajiandaa kuikabidhi nchi UKAWA... Je? hao wanaokabidhiwa wako Tayari? ...
 
Nafikiri Mahiga achambuliwe si kwa sababu ya uwezo wa kimaisha alionao bali kimaadili na mustakabali wa kitaifa. Kama mtoa mada unataka kuihusisha familia yake tupe taarifa ni vipi ametumia madaraka yake vibaya kujineemesha yeye na familia yake ikiwa ni pamoja na kucheza dili zinazotugharimu hivi leo.

Je ametumia mamlaka yake vibaya kuwapigia debe watoto wake wapewe ulaji popote walipo leo au juhudi zao zinawabeba? Je wapo hapo walipo by merits au kwa kubebwa? Nafikiri tuache kudandia hoja na badala yake tufanye tafiti juu ya wagombea zitakazo tusaidia kutupeleka mbele badala ya kupakana matope.

Hivi mjasiriamali asiwe tajiri kutokana na juhudi zake kisa watanzania ni masikini? Hebu tufanye kautafiti kidogo, toka unaamka saa 11 asubuhi mpaka unalala saa 5 usiku ni asilimia ngapi ya muda umeutumia kwa mambo ambayo ni productive na ngapi kwa mambo ya kipuuzi? Jamani juhudi zinalipa na watu wapo serious.

Mahiga alishakuwa Muhitimu wa Ph.D akiwa na miaka 30 na sasa anaelekea miaka 70. Ametumia vema elimu yake ikamfikisha hapo alipo yeye na familia yake, unataka aishi kama Matonya? Kama akili ya kitanzania ndivyo ilivyo basi tusubiri miaka 50 mingine kuendelea hata atawale malaika
 
JK alikuwa na HURUMA sana jamani, huyu bb kampa ubalozi wa kudumu, akaona haitoshi mkewe( Janet Mbene) akampa ubunge wa viti maalum akaona haitoshi akampa na uwaziri kabisa.
 
Huyu hafai hata ukatibu kijiji kwa sasa..sbb anaishi maisha ya anasa, as well maisha yake ya nje na familia yake hawajuai SHIDA NA TAABU ZA WATANZANIA wa kawaida...Na hajui kuna watu wanaishi kwa mlo mmoja kwa siku...Watnzania hawamtaki, na hawamjui...Pia Urais sio KUJARIBU JARIBU....TUNATAKA MTU TUNA UHAKIKA NA KAZI NA ANAJUA MAISHA YETU WATANZANIA...eg Lowassa, Mwigulu...hawa wengine wanasindikiza njia tu...!!! huyu hata hajulikani na watu...hafai..!! Aende akale vihela vyake New York, DC, California...atuache sie...!!!👣👣👣👣👣
 
Nafikiri Mahiga achambuliwe si kwa sababu ya uwezo wa kimaisha alionao bali kimaadili na mustakabali wa kitaifa. Kama mtoa mada unataka kuihusisha familia yake tupe taarifa ni vipi ametumia madaraka yake vibaya kujineemesha yeye na familia yake ikiwa ni pamoja na kucheza dili zinazotugharimu hivi leo.

Je ametumia mamlaka yake vibaya kuwapigia debe watoto wake wapewe ulaji popote walipo leo au juhudi zao zinawabeba? Je wapo hapo walipo by merits au kwa kubebwa? Nafikiri tuache kudandia hoja na badala yake tufanye tafiti juu ya wagombea zitakazo tusaidia kutupeleka mbele badala ya kupakana matope.

Hivi mjasiriamali asiwe tajiri kutokana na juhudi zake kisa watanzania ni masikini? Hebu tufanye kautafiti kidogo, toka unaamka saa 11 asubuhi mpaka unalala saa 5 usiku ni asilimia ngapi ya muda umeutumia kwa mambo ambayo ni productive na ngapi kwa mambo ya kipuuzi? Jamani juhudi zinalipa na watu wapo serious.

Mahiga alishakuwa Muhitimu wa Ph.D akiwa na miaka 30 na sasa anaelekea miaka 70. Ametumia vema elimu yake ikamfikisha hapo alipo yeye na familia yake, unataka aishi kama Matonya? Kama akili ya kitanzania ndivyo ilivyo basi tusubiri miaka 50 mingine kuendelea hata atawale malaika

Huko juu uko na hoja ila hapo kwenye PhD wapo wenye hizo kitu na wako hooi bin taabani. . . . .wengine Profs kabisa. . . . . kwa nchi yetu suala sio elimu tu kuna mambo mengi sana pamoja na mifumo
isiyosawa!!!!

Maadam hakuna matusi acheni wajadiliwe tu kuna ubaya gani??!!!
 
"nipeni mimi, ili niweze kukirudisha chama kwenye misingi yake....kwa wakulima na wafanyakazi, sio kama kilipo sasa kwa vibaka" MC Nyerere
 
[h=1]FYI: D​r. Mahiga's wife (For accuracy/fact please refer the details on the picture below)[/h][h=1]====
Mahiga makes low-key entry into the CCM nomination race
[/h]

Mahiga+Picha.jpg
Former Permanent Representative to the United Nations Augustine Mahiga announces his intention to vie for nomination as CCM's candidate for the Union presidency in Dar es Salaam yesterday. Right is his wife, Elizabeth PHOTO| SALIM SHAO
By The Citizen Reporters

Posted Wednesday, June 10 2015 at 08:15

For the full story p'se click the attached link below;
Source: Count me in too, declares Mahiga - News
 
Tuache siasa za maji taka ndugu zangu watanzania wenzangu. kama mtu ni mtanzania ni mtanzania suala la watoto wake kusomea ulaya sio la msingi kwa mustakabali wa taifa letu. tunachopaswa kuangalia sifa na uwezo waa mtu kutuongoza. mbona hao wanaokujua kariakoo au kigoma au rukwa hawajafanya lolote la tofauti na huyo? Tuangalie mambo ya msingi tukienda kishabiki shabiki nchi yetu haitaendelea hata siku moja. tutazidi kuwa maskini tu kwa kuangalia vitu visivyo vya maana sana kwa taifa letu. wapo viongozi na watanzania wanaoishi hapahapa Tanzania lakini hawajui kuna watu kula yao ni ya mashaka.
Lets concentrae on key issues, tuache ushabiki usio na msingi.
 
Mambo si hayo sasa. . . . .. .atakuja mwingine ajazie habari za watoto kukamilisha familia and the script will be intact. . . .
 
Habari ya watoto inaweza sema mengi sana kuhusu mwanaune fulani, mfano hapo kwenye elimu ina maana kaona tofauyi ya wazi kati ya huko walikosoma na Tanzania kwa hiyo anacho cha kusema na kufanya juu ya elimu ya Tanzania kwa vitendo sio sera this and sera that. . . .

Key issues kwako ni kama zipi mkuu??!!!
 
Tuache siasa za maji taka ndugu zangu watanzania wenzangu. kama mtu ni mtanzania ni mtanzania suala la watoto wake kusomea ulaya sio la msingi kwa mustakabali wa taifa letu. tunachopaswa kuangalia sifa na uwezo waa mtu kutuongoza. mbona hao wanaokujua kariakoo au kigoma au rukwa hawajafanya lolote la tofauti na huyo? Tuangalie mambo ya msingi tukienda kishabiki shabiki nchi yetu haitaendelea hata siku moja. tutazidi kuwa maskini tu kwa kuangalia vitu visivyo vya maana sana kwa taifa letu. wapo viongozi na watanzania wanaoishi hapahapa Tanzania lakini hawajui kuna watu kula yao ni ya mashaka.
Lets concentrae on key issues, tuache ushabiki usio na msingi.
 
Watanzania hatuelewi tunataka rais gani au ni vipi? Ukiwa masikini tunasema ataiba akiwa na uwezo tunaona haelewi matatizo yetu. Mungu shusha baraka zako.
 
FYI: D​r. Mahiga's wife (For accuracy/fact please refer the details on the picture below)

====
Mahiga makes low-key entry into the CCM nomination race

Mahiga+Picha.jpg
Former Permanent Representative to the United Nations Augustine Mahiga announces his intention to vie for nomination as CCM's candidate for the Union presidency in Dar es Salaam yesterday. Right is his wife, Elizabeth PHOTO| SALIM SHAO
By The Citizen Reporters

Posted Wednesday, June 10 2015 at 08:15

For the full story p'se click the attached link below;
Source: Count me in too, declares Mahiga - News

Mambo si hayo sasa. . . . .. .atakuja mwingine ajazie habari za watoto kukamilisha familia and the script will be intact. . . .

FYI: D​r. Mahiga's Children (For accuracy/fact please refer the details on his biography below)
=========
Biography[edit]

Mahiga was born in 1945.
In 1971, he earned a Bachelor of Arts (Education) at theUniversity of East Africa in Dar es Salaam, Tanzania. That same year, Mahiga completed a Masters of Arts at the University of Toronto (U of T). He also received a PhD in International Relations in 1975 from the same institution.
Mahiga is married and has three children.

Source: Augustine Mahiga - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Basi mtoa mada kuna kitu anakisema kwa mwangwi. . . . . .
 
And you are free to prove me wrong!.

Ni kwamba Janeth siye aliyestrugle kwa kuwapatia watoto wake elimu bora?

Kwamba si binti yangu mimi Janeth?

Kwamba Kawambwa na Mulugo hawajazika elimu ya Tanzania?

Kwamba watu wengi hapa wanatoa comments zenye mwelekeo wa wivu na kusema "Watu na fedha zao mama", au "They are too classy to be with us", classy in which sense? Kwa kuwa mmekumbatia ujinga na kudharau elimu mnaifanya kisiasa, sasa wenzenu wamesome shule za maana na elimu safi, mnaanza kuwapiga majungu na kuwabagua as if waliwalazimisha kuchagua raisi asiyejua thamani ya elimu?

Ninaomba uwe mkweli!.

Sitetei Ccm wala hakuna uwezekano wa ccm kutoa raisi, lakini kwa mitazamo ya kuwa attack individuals kwa mihemuko ya ujinga na failures eti kwa kuwa wao wamefanikiwa, NINAKATAA.

Someni na ninyi, mfanye kazi kwa bidii kama binti yangu Janeth, muwe na malengo kwa watoto wenu na muwape elimu na mazingira sahihi tangu wakiwa wadogo. Janeth ni Binti yangu na wala hilo halina ubishi. Ni age mate wa mtoto wangu wa tatu.

Lakini sitetei kwa kuwa ni Janeth, bali ni kama binadamu ninayejua anaonewa kwa kosa ambalo halipo. Janeth hajawahi kuwa na kashifa katika sehemu yoyote na mkitaka mfuatilieni.

Mafanikio ya watoto wake na yeye ni kwa ajili ya bidii zake binafsi ambazo hata wewe ukitaka unaweza. Wivu na ubaguzi ni dhambi, acheni!.

Ni hilo tu.

You can have a sophisticated explanation of something and be wrong
 
Hivi B Mkapa hakuwa msafi? Aliitwa "Mr. Clean" lakini ufisadi uliofanyika mwishoni wa Utawala wake kila mtu anaujua. Achilia kuua Viwanda vyote nchini na leo hii tunazungumzia kufufua viwanda. Suala la Usafi wa Mtu, binafsi bado linanipa mashaka katika utekelezaji wa shughuli za serikali baada ya kuingia Ikulu.
 
Back
Top Bottom