Wakuu,kuna watu hapa jamvini wanadai tumchambue Mahiga kwa hoja.kwamba tuongelee cv zake wanazotuwekea hapa basi.eti masuala ya familia yake hayatuhusu.nakiri kabisa simjui Mahiga na kuna wengi hapa jamvini nao hawamjui.kwamba ameishi nje zaidi ya miaka 30 na leo ghafla anakuja hapa nakuutaka uraisi.kwamba tunalazimishwa kumjua kwa kusoma page moja ya wasifu wake jamiiforums..really???hahaha.tunahitaji raisi tunayemjua na tunayejua historia yake vizuri,raisi ambaye kweli ametoka miongoni mwetu,mwenye kuyajua na kuyaona matatizo yetu,mwenye kusafiri na sisi,mwenye kuhudhuria msikitiikanisani,sherehe na misiba kitaani na vijijini.raisi ambaye kweli ametoka miongoni mwetu.tunahitaji raisi mtanzania halisi na sio mtanzania kwa jina tu..Tunahitaji watu kama dr slaa,lipumba,makongoro,mwandosya nk..watu tuioishi nao for the last atleast 20yrs.watu tunaofahamu mazuri na mabaya yao.leo from nowhere mnatuletea Mahiga(foreigner) eti awe raisi wetu..Duh,acheni hizo jamani.agombee ubunge labda anweza akapewa wizara ya mambo ya nje