Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hatuwezi kumchagua MTU from nowhere aje kutuongoza.

What do you mean mtu from nowhere?

Mahiga alikuwa Mkurugenzi serikalini tangu enzi za Nyerere, kafundisha Chuo Kikuu, kafanya kazi Wizara ya Mambo ya Nje mpaka kafikia ngazi ya Ubalozi, kawa balozi wetu Umoja wa Mataifa -kazi ambayo rais wetumwingine wa awali, Mkapa, aliipitia- . Kuna wakati Mahiga alikuwa anagombewa kati ya serikali ya Tanzania na Umoja wa Mataifa, akimaliza kazi UN, serikali ya Tanzania inamchukua, akimaliza kazi serikali ya Tanzania, UN wanamuulizia mtu wetu tunaweza kurudishiwa? Mpaka mwisho hapa alipomaliza kuwa balozi wa Tanzania UN Ban Ki-Moon kamteua kuwa mwakilishi Somalia.

Mtu kateuliwa na rais kuwa balozi UN, kateuliwa na Katibu Mkuu wa UN kuwa muwakilishi Somalia.

Wewe bado unasema mtu from nowhere?

Huyu ni mtu from nowhere au ni wewe tu husomi habari?
 
Kwanini tunapoteza muda jadili nonsense?

Kwa sababu nonsense zisipojibiwa kwa sense, kuna hatari wengine wasio na habari kamili wakaziona sense.

Mtu anakuja kuwahabarisha habari zandani za Balozi Mahiga, anaweka picha ya mke wa Mahiga, hata mke wa Mahiga hamjui. Picha aliyoweka si ya mke wa Mahiga.

Anakwambia Mahiga mlevi. Balozi hanywi pombe.

Sasa huyu ni wa kumsikiliza?

Naona kuna watu washaanza ku panic. Wameona kwamba Watanzania wamechoka na hawa viongozi uchwara wanaotuzunguka kila siku, wanataka sura mpya zenye misingi imara katikaprinciples kutuongoza.

Sikutegemea kama balozi Mahiga angejitosa katika kugombea.

Kila sikunimekuwa nikisema "those who can dont, those who will cant".

Balozi Mahiga ni mmoja kati ya wachache who can and has dared to stand.

Kama siasa za kibongo zitaruhusumtu serious kuongoza huyu bwana anaweza kubadiki nchi.
 
Ndo angekuwa baba yako mzazi ugempinga?......be honest.........hakuna anayeoenda umaskini
 
Kwanini achaguliwe Mahiga wakati kuna makachero luluki waliobobea ndani ya CCM na wapo muda mrefu, wameona mengi na wanajua mengi wakiwa jikoni sidhani kama huyu bwana anatimiza vigezo vyote 13 alivyovitoa Mangula despite his international diplomacy credentials.

Isitoshe hana kigezo cha utawala bora kwenye serikari recently ambapo inabidi uwe mstahimilivu kweli kuacha kujitajirisha given the open opportunity na kuna watu temptation hizo waliziangalia pembeni sidhani kama kundi hilo linaweza kuwa overlooked for now its hard to tell mpaka watu wote wachukue form wenye nia.

CCM wanajua wenyewe siri ya mgombea wao lakini kuna watu mazingira ya siasa za sasa wanazijua kuliko mgeni na watu kama kina Mahiga na Kitine naona wana gamble baada ya kujua serikari kikubwa kwa sasa disintegration ya jamii na hali ya nchi (+jumlisha ufisadi) na wao kama wana usalama will be qualified to sort that mess all I know CCM nayo ilikuwa na watu wake tayari inao wafikiria tukumbuke kauli ya bwana itikadi na uenezi safari hii mnaweza pata mgombea asie na jina kubwa.
 
acha wivu, swaiba, kuishi maisha ya kifahari, sio dhambi, huyu jamaa alikuwa diplomat nje, unataka aishi vp? Kama wewe, maisha ya kuungaunga

Huyo jamaa mzushi tu.

Hata Balozi Mahiga hamjui.

Tafuta picha ya balozi Mahiga alivyoenda kutangaza nia. Alikuwa na mke wake.

Halafu angalia tofauti ya picha ya mke wake hapo na huyu aliyewekwa hapa.

Jamaa hata mke wa Mahiga hamjui anatuambia habari za balozi Mahiga anavaa suti gani.
 
Safari hii tutaelewana tu,hata chupi zenu za ndani tutazijua rangi.
 
Lazima atamwagiwa maji taka na genge hili lililoleta utawala huu unaoondoka na tope la escrow. Style yao ndo hii at best. Hawa wanaitwa wanamtandao. Aliyeuanzisha mwenyewe sasa hivi anawaogopa kama ukoma sababu kidogo wamfanye ashindwe kutawala. Sasa wanataka kuchukua ikulu. Mbinu yao ni kuhonga na kuchafua ingawa wenyewe wananuka.
 
What do you mean mtu from nowhere?

Mahiga alikuwa Mkurugenzi serikalini tangu enzi za Nyerere, kafundisha Chuo Kikuu, kafanya kazi Wizara ya Mambo ya Nje mpaka kafikia ngazi ya Ubalozi, kawa balozi wetu Umoja wa Mataifa -kazi ambayo rais wetumwingine wa awali, Mkapa, aliipitia- . Kuna wakati Mahiga alikuwa anagombewa kati ya serikali ya Tanzania na Umoja wa Mataifa, akimaliza kazi UN, serikali ya Tanzania inamchukua, akimaliza kazi serikali ya Tanzania, UN wanamuulizia mtu wetu tunaweza kurudishiwa? Mpaka mwisho hapa alipomaliza kuwa balozi wa Tanzania UN Ban Ki-Moon kamteua kuwa mwakilishi Somalia.

Mtu kateuliwa na rais kuwa balozi UN, kateuliwa na Katibu Mkuu wa UN kuwa muwakilishi Somalia.

Wewe bado unasema mtu from nowhere?

Huyu ni mtu from nowhere au ni wewe tu husomi habari?

Kwa nini asigombee huko UN kama wanamkubali? Maana hapa Tanzania tunataka mswahili mwenzetu yakhee....
 
haa haa huyo ndo wakuwaambia watanzania kwamba kama wana njaa wale mikate.
 
Ha ha ha , ila sasa hivi kwa muda aliokaa nje ulita watoto awaache kwa nani?.....juzi tuliona picha akiwa na mkewe ambaye sio huo mama mbene, kama walikuwa mtu na mkewe nadhani waliachana kitambo sana......angalieni sifa zake sio vitu vya kunga
 
Kuna watoto wa kishua wanaokaa OBAY na MASAKI ambao ni members wa Jamiiforums wanataka kutuaminisha kuwa eti huyu POSH BOY Mahiga anafaa kuwa rais wa Tanzania
Huyu mahiga hafai na hawezi kuwa president wa nchi Hi sana sana anapoteza muda wake.
hajui chochote kuhusu hali halisi ya tz, alafu hao watoto wa obay na masaki washapitwa sahv hakuna kuogopana sjui huyu mtoto wa masaki wala huyu wa obay.
 
Tunamtaka Slaa atakaetutengenezea kiwanda cha gongo na kula mihogo Ikulu..
 
Kuna watu wanataka kumshughulikia kipuuzi Mahiga kama walivyomzima Salim Ahmed Salim..... nashangaa zile team hasimu zote matusi kwa Mahiga na familia yake.....kwa taarifa yenu hakuna mwanaccm safi kuliko Mahiga kwasasa.....
 
Back
Top Bottom