Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Duuuuh! Hadi nimeogopa! Haya bwana, watu na maisha yao.

Aisee hata mimi nimeogopa kwa kweli looh!! kama alivyosema mwigulu ni kweli kuna watu shida wanazisoma tu kwenye vitabu aisee

Familia kama hii uiweke Magogoni, khaaa sipati picha!! ndo yale ya kutuma ndege iwaletee maji toka paris (kidding though)
 
hata mumchafui vipi mahiga hapati hata harufu ya ufisadi na rais hajaguliwi na wadau wa jf anapitishwa na ccm
 
Umeona eee tena ni ufalme uliofitinika. Ukawa wajipange mwaka huu mtam
 
Hahahaha ndo uzao wa ccm, zetu sec za kata hata ukionana mwl mchana unasalimia gudmon but wenzetu watoto wanasoma na kukulia ulaya
 
Mbona hao watoto wanasema wapo watano ,ila hao wawili tu ndo wameshare baba ambaye ndo Mahiga,pia kwenye hiyo video wanasema wamelelewa na single mother,inakuwaje wewe mleta hoja unasema Janet ndiye mke wa Mahiga?
 
Bora angeendelea kuandika articles zake magazetini lakini sio kutaka kutuongopea eti yeye yuko kama sisi

Kivipi? Mtu anavaa suti ya dola 7 atajua kweli shida zetu huyu?

Dola 7 tu? Kwa hiyo haifiki hata elfu 25? Utakua umekosea mkuu!
 
Yawezekana kweli hana tuhuma za ufisadi na ni msafi but nani kakwambia ccm inataka mtu msafi! Nakuhakikishia pamoja na usafi hapenyi, had sasa ccm walishajua nani mgombea ndg. Anyway ss tujadili kwa aman haina haja kutukanana kwa ajili ya ugali wa wengine
 
Na mie nasema jamaa hawezi kuelewa matatizo yetu kwa sahivi kwasababu ajenda zake na zetu havitengamani, havifanani katu. Hatumhitaji imported leader toka kwa watawala wa nje, tunamhitaji mwenzetu kama sisi

Watanzania hatuna matatizo! CCM ndo ina matatizo na imetulazimisha watz wote tubebe matatizo ya CCM! Kwa sasa imetosha, wakafie mbali na safari zao za matumaini ya kwenda ahera!!!
 
Mleta mada ni mtu mpumbavu sana, hizo suti zinatuhusuje? Umesema mtoto wa mahiga mi mtu makini anaweza faa hata kuwa rais, hao unaowaelezea ni watoto wa nyumba ndogo?
 
Back
Top Bottom