Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Jaribu kupata facts zako zawa. Una uhakika hawa ni watoto wa Balozi Mahiga, au Mahiga mwingine?

Ninavyomwelewa Balozi Mahiga ana watoto wawili, wa kiume na wa kike. Mtoto wake wa kike anaitwa Veronica na amekuwa akiishi Nairobi siku nyingi sana. Na ndio huyu tuliambiwa Mahiga alipokufa mke wake alikuwa Nairobi kumuuguza mwanae. Na pia nasikia huyu mtoto wa kike wa Mahiga amekuwa akiishi Nairobi toka Mahiga aondoke pale alikpokuwa aikifanya kazi UN, kwa kuwa aliamua kubaki Nairobi. Na inasemwa ameshika dini sana kiasi kwamba hata alikuwa akikosana na wazazi wake kwa sababu ya dini.

Kwa hiyo, una uhakika huyo unaemsema ni same Mahiga balozi?

Sasa hawa wengine ambao ni sehemu ya watoto watano wa Mahiga - hebu weka facts zako vizuri na uombe msamaha pale ulipokosea.
 
Mkuu umeshaambiwa mchepuko wake amepata nae hao watoto wawili
 
MKuu, ina maana Mahiga akiwa Nairobi kama UN Special Representative and Head of the United Nations Political Office for Somalia (2010 - 2013) alikuwa anaishi rasmi na mchepuko wake na watoto wake wawili na sio familia yake official?
 
Kwa maelezo ya jamaa huu jf marehemu na uyo mchepuko walikuwa na uhusiano tangia chuo kikuu. Mfuatilie jasusi comments zake utaelewa mkuu.

Cc jasusi
 
I don't know exactly what made you write this kind of hatred comment about this family. Is it because you and your family are poor and never saw lifetime opportunities? ...

Kwa CV na maeneo aliyopitia Mzee huyu kufanya Kazi, ni makosa makubwa sana kufikiri kuwa mafanikio yake hayampi uhalali wa familia yake kuishi maisha yenye staha kama waishivyo sasa...

I am not saying he was perfect. No he wasn't because the bible says, we are all sinners na kwa neema ya Kristo tunawekwa huru na dhambi zote za asili na zingine...

I am totally against you. These children of the late Mahiga they deserve every citizenship rights as any other Tanzanian citizens no matter what social status they possess...

You have no right to judge them negatively just because of their personal life style. You have no right to deny their citizenship rights whatsoever....

Kama wewe na wazazi wako mliamua kuubeba ujinga na umasikini wa mawazo na kipato kwa sababu ziwazo zozote zile, basi hiyo ni sehemu ya maisha yenu, si kwa wengine.

Hii ni bahati mbaya sana kwako. Hata hivyo na kwa sababu mko hai, iko njia ya kupita na kurekebisha mambo lakini kwa sharti la kuiacha roho ya wivu kwa wengine!!
Ni kweli unashangaa kusikia hayo mwaka wa uchaguzi? Mbona ni kawaida! Mwaka huu utasikia mengine. Lengo huwa ni kumshinda oponent. Unatafuta kila aina ya achile's heel!

Kwani kulikuwa na sababu ya kuleta interview ya watoto kipindi cha kuchukuwa fomu? Au ndo ilikuwa alama ya ubora? Part of all those election rubbish.
 
Kwa maelezo ya jamaa huu jf marehemu na uyo mchepuko walikuwa na uhusiano tangia chuo kikuu. Mfuatilie jasusi comments zake utaelewa mkuu.

Cc jasusi
Okay, total confusion basi;

Secretary-General Appoints Augustine P. Mahiga of United Republic of Tanzania Special Representative for Somalia

Before joining the Tanzanian Foreign Service in 1983, Mr. Mahiga worked in the President’s Office as Acting Director General and Director of Research and Training from 1977–1983. He served in various capacities with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR), including as Chief of Mission to Liberia, Coordinator and Deputy Director of the humanitarian and refugee crisis in the Great Lakes Region, and UNHCR Representative in India, Italy, Malta, the Holy See and the Republic of San Marino.

Mr. Mahiga holds a PhD in Philosophy and International Relations from the University of Toronto, Canada. He was born on 28 August 1945 and is married with three children.
 
Boss, Hapa tuko anonymous lakini bado kuna watu wanajivunia hata kufahamiana na Mahiga (RIP). Wanatamani hata sisi tuwafahamu hivyo. What is the use? Who was he, Mahiga? Ktk maisha kila mtu ana uzembe wake.
 
Mkuu umeshaambiwa mchepuko wake amepata nae hao watoto wawili
Jasusi amesema "
Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto"

Kwa hiyo mnachotuambia ni kwamba mke official alienda Nairobi kumuuguza mtoto wa mchepuko wa Mahiga?
 
Okay, total confusion basi;

Secretary-General Appoints Augustine P. Mahiga of United Republic of Tanzania Special Representative for Somalia

Before joining the Tanzanian Foreign Service in 1983, Mr. Mahiga worked in the President’s Office as Acting Director General and Director of Research and Training from 1977–1983. He served in various capacities with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR), including as Chief of Mission to Liberia, Coordinator and Deputy Director of the humanitarian and refugee crisis in the Great Lakes Region, and UNHCR Representative in India, Italy, Malta, the Holy See and the Republic of San Marino.

Mr. Mahiga holds a PhD in Philosophy and International Relations from the University of Toronto, Canada. He was born on 28 August 1945 and is married with three children.
Lazima kutakuwa na total confusion,nakubaliana na wewe lakini kumbuka marehemu hawezi kusemwa vibaya.

Ila kuna uplayer fulani fulani
 
Kama ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.

Nimegundua mwanzisha uzi ni mwana Arsenal
 
Kuna watoto wa kishua wanaokaa OBAY na MASAKI ambao ni members wa Jamiiforums wanataka kutuaminisha kuwa eti huyu POSH BOY Mahiga anafaa kuwa rais wa Tanzania
H🤭🤭aha haaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kama walivyo 95% ya mabalozi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania huyu hajui shida ni nini na watu wenye shida wanaishi vipi

Huyu ndio wale wanaitwa THE HAVE LOTS na familia yake na mkewe wote ndio katika hiyo hiyo CIRCUS ya wanaoishi kwenye Ivory towers. Marafiki zake kisirisiri wanamwita POSH BOY MAHIGA....

Huyu alikuwa anapigiwa kampeni na mmoja wa wagombea Urais ili awe bosi wa Usalama lakini hawakufanikiwa na Mheshimiwa Rais akamteua mtu mwingine (ambaye akina Mahiga waliendelea kumpiga vijembe na articles zao kwa kutumia Pseudo names kwenye media Tanzania).

Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene, Watoto wake wamesoma shule za International schools na hawajui Kiswahili vizuri, mtoto wake mwingine wa kufikia ndio PR director wa NSSF.

Huyu anajua zaidi mitaa ya Upper East side of New York kuliko Kariakoo, Ruvu, Kigoma, Tabora, Mwambani na Visiga

Huyu anajua zaidi tena kwa kichwa North Delegates Lounge bar kuliko Kwa Macheni auBreak Point (sidhani hataka anazijua).

Cliques zake tanzania ndio hao hao ma diplomats wenzake waliozaliwa na silver spoon kuliko hao wenyeviti wa serikali za mitaa.

Ukimuuliza bei ya nyanya tanzania hajui lakini anaspend close to $700 kununua tai moja kwenye department store la kifahari la Bergdorfgoodman (hili liko mtaa wa 5 avenue ambao umejaa maduka yenye kuuza vitu ghali zaidi duniani). Huyu Mahiga suti zake ni bespoke za Ermenegilo Zegna, Kiton K-50 anashindana na yule bepari mwingine (AMI MPUNGWE). As a matter of fact, huyo JK na kupiga pamba zake zote lakini bado hamfikii huyu jamaa ambaye juzi tumeshangaa kavaa shati la kijani (naamini haya hilo shati la kijani la CCM alilovaa ni litakuwa limekuwa designed na hao hao jamaa zake wa 5th Avenue)

Mahiga anaweza kuwa ana uwezo wa kuongea na hao madiplomats na hao watu wa matawi ya juu wenzake lakini sidhani kama yeye na familia yake na marafiki zake na mnaompigia debe humu Jamii Forums mnaweza kutushawishi kuwa ni mtu ambaye yuko IN TOUCH na watanzania waliopo on the ground.

Nina wasi wasi kama aliwahi kufika ofisi za CCM Kariakoo na ukimuuliza klabu gani ilishinda Upingwa wa Ligi Kuu mwaka jana sidhani kama anajua.

Ila ingekuwa yule binti yake mlokole (MODESTA) anagombea tungemfikiria lakini kwanza aanze na level ya udiwani kumpima lakini si baba mtu ambaye najua fika kuwa mjumbe wa nyumba 10 hawezi kupita.

Kama ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.

Tazama Video za Watoto wake.

janeth.jpg

Mkewe (Janeth Mbene)

Nasema hivi

Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile.
Una roho mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jasusi amesema "
Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto"

Kwa hiyo mnachotuambia ni kwamba mke official alienda Nairobi kumuuguza mtoto wa mchepuko wa Mahiga?
Sio mimi nachokuambia ni kutokana na comments wanaomfahamu, kwanza umecheki video za hao watoto? Binafsi nakiri nilikuwa simjui marehemu personally.

Ila tokea lini mchepuka unakuwa na full responsibility kwa kifo cha mwanaume aliyezaa nae?
 
Jasusi amesema "
Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto"

Kwa hiyo mnachotuambia ni kwamba mke official alienda Nairobi kumuuguza mtoto wa mchepuko wa Mahiga?
Synthesizer nashindwa kutamka km huyu Mama ni mchepuko lkn ni mke wa pili, na walikuwa wote Ofisini (km Jasusi anasema Chuoni sikatai)
Ila ni mchagga wa Kiborloni alipata naye watoto wawili wa kiume na wakike, huyo wa kike alishawahi kuwa mifuko ya jamii cheo kikubwa, Mam kuna kipindi alikuwa naye hukohuko USA na aliporudi DSM akawa kwake maeneo ya fukweni, tena Balozi wa mtaa, akaukwaa Uwazi na sasa ni Mbunge viti maalum huko kwa Mumewe
Mke wa awali yupo naye ana watoto km sikose ni watatu lkn wanaozungumziwa kwenya Mada hii ni wa mke mdogo
RIP A. Philip Mahiga
Augustine P Mahiga married Elizabeth J Chanzi in 1974, at marriage place, New York.
 
I don't know exactly what made you write this kind of hatred comment about this family. Is it because you and your family are poor and never saw lifetime opportunities? ...

Kwa CV na maeneo aliyopitia Mzee huyu kufanya Kazi, ni makosa makubwa sana kufikiri kuwa mafanikio yake hayampi uhalali wa familia yake kuishi maisha yenye staha kama waishivyo sasa...

I am not saying he was perfect. No he wasn't because the bible says, we are all sinners na kwa neema ya Kristo tunawekwa huru na dhambi zote za asili na zingine...

I am totally against you. These children of the late Mahiga they deserve every citizenship rights as any other Tanzanian citizens no matter what social status they possess...

You have no right to judge them negatively just because of their personal life style. You have no right to deny their citizenship rights whatsoever....

Kama wewe na wazazi wako mliamua kuubeba ujinga na umasikini wa mawazo na kipato kwa sababu ziwazo zozote zile, basi hiyo ni sehemu ya maisha yenu, si kwa wengine.

Hii ni bahati mbaya sana kwako. Hata hivyo na kwa sababu mko hai, iko njia ya kupita na kurekebisha mambo lakini kwa sharti la kuiacha roho ya wivu kwa wengine!!

Ndio tabia ya waafrica, na watanganyika kuzidi, Samuel sitta alisema kama Zanzibar ikiwa huru na ikipiga hatua ya maendeleo makubwa, watanganyika watahoji kwa nini Tanganyika hawana maisha mazuri kama Zanzibar! Hapo itakuwa vita Tanganyika kwa choyo, haya yalisemwa bungeni, bunge la katiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.... inatia hasira sana! Kama mambo yenyewe ndio haya, heri tubaki na waswaga ng'ombe tu maana hizi sasa zarau!
Wewe endelea kuswaga ng'ombe wakati wenzake wanawanconvert hao ng'ombe kama pesa za kuwekeza.
Pengine nikuulize, jee ungepata nafasi kama hiyo wewe na familia yako ingekuwa kwenye class gani????
'WIVU WA KIPUUZI HUPUMBAZA ILA WIVU WA MAENDELEO HUPAMBAZA'
 
Back
Top Bottom