Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

mkewe (Janeth Mbene)


Nasema hivi

Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile


Huyu ndiye alimkoromea traffic police akiwa kwenye majukumu yake? Na baada ya kusikia habari zimefika ikulu akashuka kutoka tiger to a cat
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.


Watafanya mara ngapi?
 
Huyu ndiye alimkoromea traffic police akiwa kwenye majukumu yake? Na baada ya kusikia habari zimefika ikulu akashuka kutoka tiger to a cat
Inasemekana huyo mkewe ni mtata sana kwa mumewe
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
Hivi we jamaa kwanini usianze na ndugu zako huko kwenye family au ukoo wenu kuwashawishi wafanye hujuma?Kila siku tu watumishi watumishi
 
Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile
GRANDMUFTI, hii ni mada iliyoanzishwa 2015, lakini swali ninalotaka kukuuliza bado ni 'valid' kabisa hata kwa sasa.

Hiyo CCM uliyokuwa unaipigania ni ya watu wa aina gani?

Kwenye chama hamuwataki akina Mahiga; nyinyi mlioko kwenye chama sifa zenu zinazowapambanua na hao akina Mahiga ni zipi hasa!

Sasa sijui kama bado unapumua au COVID-19 ilishakuondoa pumzi kama maskini Dr Mahiga.
 
Aisee

R.I.P gwiji mbobezi na humble man balozi Mahiga.
 
Kama walivyo 95% ya mabalozi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania huyu hajui shida ni nini na watu wenye shida wanaishi vipi

Huyu ndio wale wanaitwa THE HAVE LOTS na familia yake na mkewe wote ndio katika hiyo hiyo CIRCUS ya wanaoishi kwenye Ivory towers. Marafiki zake kisirisiri wanamwita POSH BOY MAHIGA....

Huyu alikuwa anapigiwa kampeni na mmoja wa wagombea Urais ili awe bosi wa Usalama lakini hawakufanikiwa na Mheshimiwa Rais akamteua mtu mwingine (ambaye akina Mahiga waliendelea kumpiga vijembe na articles zao kwa kutumia Pseudo names kwenye media Tanzania).

Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene, Watoto wake wamesoma shule za International schools na hawajui Kiswahili vizuri), mtoto wake mwingine wa kufikia ndio PR director wa NSSF.

Huyu anajua zaidi mitaa ya Upper East side of Newyork kuliko Kariakoo, Ruvu, Kigoma, Tabora, Mwambani na Visiga

Huyu anajua zaidi tena kwa kichwa North Delegates Lounge bar kuliko Kwa Macheni auBreak Point (sidhani hataka anazijua)

Cliques zake tanzania ndio hao hao ma diplomats wenzake waliozaliwa na silver spoon kuliko hao wenyeviti wa serikali za mitaa.

Ukimuuliza bei ya nyanya tanzania hajui lakini anaspend close to $700 kununua tai moja kwenye department store la kifahari la Bergdorfgoodman (hili liko mtaa wa 5 avenue ambao umejaa maduka yenye kuuza vitu ghali zaidi duniani). Huyu Mahiga suti zake ni bespoke za Ermenegilo Zegna, Kiton K-50 anashindana na yule bepari mwingine (AMI MPUNGWE). As a matter of fact huyo JK na kupiga pamba zake zote lakini bado hamfikii huyu jamaa ambaye juzi tumeshangaa kavaa shati la kijani ( naamini haya hilo shati la kijani la CCM alilovaa ni litakuwa limekuwa designed na hao hao jamaa zake wa 5th Avenue)

Mahiga anaweza kuwa ana uwezo wa kuongea na hao madiplomats na hao watu wa matawi ya juu wenzake lakini sidhani kama yeye na familia yake na marafiki zake na mnaompigia debe humu Jamii Forums mnaweza kutushawishi kuwa ni mtu ambaye yuko IN TOUCH na watazanaia waliopo on the ground

Nina wasi wasi kama aliwahi kufika ofisi za CCM kariakoo na ukimuuliza klabu gani ilishinda Upingwa wa ligi kuu mwaka jana sidhani kama anajua.

Ila ingekuwa yule binti yake mlokole ( MODESTA) anagombea tungemfikiria lakini kwanza aanze na level ya udiwani kumpima lakini si baba mtu ambaye najua fika kuwa mjumbe wa nyumba 10 hawezi kupita.

Kma ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.


Tazama Video za Watoto wake.








janeth.jpg


mkewe (Janeth Mbene)


Nasema hivi

Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile.

Janeth ni mke mdogo (mchepuko)
 
Back
Top Bottom