Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

.... inatia hasira sana! Kama mambo yenyewe ndio haya, heri tubaki na waswaga ng'ombe tu maana hizi sasa zarau!
 
Kwa hiyo hapo Balozi atakuwa ameacha billions of money? Au sio?
 
Mkuu wanaccm walikuwa wanapeana zile scholarships zilizokuwa zinaletwa Tz kwa ajiri ya nchi.Makamba junior kasoma New York and so on.90,% ya watanzania waliosoma nje ni watoto wa viongozi,sasa wewe Kama unapigania ccm kwa kuwa baba yako ni mjumbe wa nyumba kumi au katibu wa ccm wa mtaa au Kijiji I am so sorry for you
 
Watanzania hautuwezi kufanana wote kwa kila kitu, hili inabidi watu wote walijue. Hawa wamekulia mazingira ya nje ndiyo, lazima wawe hivyo kama walivyo. Cha msingi je, mioyo yao ikoje? Wasije wakawa disadvantaged kisa tu wamekulia nje
 
Naona sasa mmeanza kumchafua jamaa, baada ya kuona huenda ndiye mtu aliyekuwa anasubiriwa au bado kuna mwingine? Huenda sio yeye, ngoja tusubiri kwanza. Tuliambiwa huyo mtu atakuwa wa mwisho kuchukua form. Huenda akawa ni Yohana Mbatizaji anatengeneza tu njia , chonde chonde acheni kumchafua. Hii ni TeamLowassa au TeamMembe? Ila TeamLowassa ndio wachafua wengine ili FISADI achukue nchi
Roho mbaya zina mzizi mrefu ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanaishi maisha bora kuliko hao watoto, na baba zao sio mabalozi wala nini na wala hawapo ndani ya ccm, maisha ni planning, plan your life utapata lifestyle unayotaka. Hayo masuala sijui hawajui kishwahilli hiyo ni choice tuu. Kuna watu wamezaliwa marekani na kihaya wanaongea na hawajawahi kufika bongo hizo choice za kifamilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama walivyo 95% ya mabalozi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania huyu hajui shida ni nini na watu wenye shida wanaishi vipi

Huyu ndio wale wanaitwa THE HAVE LOTS na familia yake na mkewe wote ndio katika hiyo hiyo CIRCUS ya wanaoishi kwenye Ivory towers. Marafiki zake kisirisiri wanamwita POSH BOY MAHIGA....

Huyu alikuwa anapigiwa kampeni na mmoja wa wagombea Urais ili awe bosi wa Usalama lakini hawakufanikiwa na Mheshimiwa Rais akamteua mtu mwingine (ambaye akina Mahiga waliendelea kumpiga vijembe na articles zao kwa kutumia Pseudo names kwenye media Tanzania).

Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene, Watoto wake wamesoma shule za International schools na hawajui Kiswahili vizuri, mtoto wake mwingine wa kufikia ndio PR director wa NSSF.

Huyu anajua zaidi mitaa ya Upper East side of New York kuliko Kariakoo, Ruvu, Kigoma, Tabora, Mwambani na Visiga

Huyu anajua zaidi tena kwa kichwa North Delegates Lounge bar kuliko Kwa Macheni auBreak Point (sidhani hataka anazijua).

Cliques zake tanzania ndio hao hao ma diplomats wenzake waliozaliwa na silver spoon kuliko hao wenyeviti wa serikali za mitaa.

Ukimuuliza bei ya nyanya tanzania hajui lakini anaspend close to $700 kununua tai moja kwenye department store la kifahari la Bergdorfgoodman (hili liko mtaa wa 5 avenue ambao umejaa maduka yenye kuuza vitu ghali zaidi duniani). Huyu Mahiga suti zake ni bespoke za Ermenegilo Zegna, Kiton K-50 anashindana na yule bepari mwingine (AMI MPUNGWE). As a matter of fact, huyo JK na kupiga pamba zake zote lakini bado hamfikii huyu jamaa ambaye juzi tumeshangaa kavaa shati la kijani (naamini haya hilo shati la kijani la CCM alilovaa ni litakuwa limekuwa designed na hao hao jamaa zake wa 5th Avenue)

Mahiga anaweza kuwa ana uwezo wa kuongea na hao madiplomats na hao watu wa matawi ya juu wenzake lakini sidhani kama yeye na familia yake na marafiki zake na mnaompigia debe humu Jamii Forums mnaweza kutushawishi kuwa ni mtu ambaye yuko IN TOUCH na watanzania waliopo on the ground.

Nina wasi wasi kama aliwahi kufika ofisi za CCM Kariakoo na ukimuuliza klabu gani ilishinda Upingwa wa Ligi Kuu mwaka jana sidhani kama anajua.

Ila ingekuwa yule binti yake mlokole (MODESTA) anagombea tungemfikiria lakini kwanza aanze na level ya udiwani kumpima lakini si baba mtu ambaye najua fika kuwa mjumbe wa nyumba 10 hawezi kupita.

Kama ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.

Tazama Video za Watoto wake.

janeth.jpg

Mkewe (Janeth Mbene)

Nasema hivi

Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile.

Wewe unaonekana kama umekata tamaa ya maisha kiasi unawaone wivu wale ambao wamefanikiwa.
 
Hii jeuri yote kaipata kupitia chama kipi ? Kuanzia Tanu hadi CCM ? Sasa nakueka sawa, ccm ndio sio level ya wanyonge ispokuwa wataka tonge, matajiri na wabinafsi.

Wa kukataliwa sio watoto wake , ni ccm kabisa haifai, lowassa pia aliishi ulaya na marekani pia ?

Ccm ni wakati wa kukaa pembeni, tumechoka na siasa zenu chafu, kazi unafiki tu , uwaji wa kiholela, kubambika case viongozi na viongozi wa dini, na kila mwenye mawazo tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama walivyo 95% ya mabalozi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania huyu hajui shida ni nini na watu wenye shida wanaishi vipi

Huyu ndio wale wanaitwa THE HAVE LOTS na familia yake na mkewe wote ndio katika hiyo hiyo CIRCUS ya wanaoishi kwenye Ivory towers. Marafiki zake kisirisiri wanamwita POSH BOY MAHIGA....

Huyu alikuwa anapigiwa kampeni na mmoja wa wagombea Urais ili awe bosi wa Usalama lakini hawakufanikiwa na Mheshimiwa Rais akamteua mtu mwingine (ambaye akina Mahiga waliendelea kumpiga vijembe na articles zao kwa kutumia Pseudo names kwenye media Tanzania).

Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene, Watoto wake wamesoma shule za International schools na hawajui Kiswahili vizuri, mtoto wake mwingine wa kufikia ndio PR director wa NSSF.

Huyu anajua zaidi mitaa ya Upper East side of New York kuliko Kariakoo, Ruvu, Kigoma, Tabora, Mwambani na Visiga

Huyu anajua zaidi tena kwa kichwa North Delegates Lounge bar kuliko Kwa Macheni auBreak Point (sidhani hataka anazijua).

Cliques zake tanzania ndio hao hao ma diplomats wenzake waliozaliwa na silver spoon kuliko hao wenyeviti wa serikali za mitaa.

Ukimuuliza bei ya nyanya tanzania hajui lakini anaspend close to $700 kununua tai moja kwenye department store la kifahari la Bergdorfgoodman (hili liko mtaa wa 5 avenue ambao umejaa maduka yenye kuuza vitu ghali zaidi duniani). Huyu Mahiga suti zake ni bespoke za Ermenegilo Zegna, Kiton K-50 anashindana na yule bepari mwingine (AMI MPUNGWE). As a matter of fact, huyo JK na kupiga pamba zake zote lakini bado hamfikii huyu jamaa ambaye juzi tumeshangaa kavaa shati la kijani (naamini haya hilo shati la kijani la CCM alilovaa ni litakuwa limekuwa designed na hao hao jamaa zake wa 5th Avenue)

Mahiga anaweza kuwa ana uwezo wa kuongea na hao madiplomats na hao watu wa matawi ya juu wenzake lakini sidhani kama yeye na familia yake na marafiki zake na mnaompigia debe humu Jamii Forums mnaweza kutushawishi kuwa ni mtu ambaye yuko IN TOUCH na watanzania waliopo on the ground.

Nina wasi wasi kama aliwahi kufika ofisi za CCM Kariakoo na ukimuuliza klabu gani ilishinda Upingwa wa Ligi Kuu mwaka jana sidhani kama anajua.

Ila ingekuwa yule binti yake mlokole (MODESTA) anagombea tungemfikiria lakini kwanza aanze na level ya udiwani kumpima lakini si baba mtu ambaye najua fika kuwa mjumbe wa nyumba 10 hawezi kupita.

Kama ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.

Tazama Video za Watoto wake.

janeth.jpg

Mkewe (Janeth Mbene)

Nasema hivi

Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile.

I don't know exactly what made you write this kind of hatred comment about this family. Is it because you and your family are poor and never saw lifetime opportunities? ...

Kwa CV na maeneo aliyopitia Mzee huyu kufanya Kazi, ni makosa makubwa sana kufikiri kuwa mafanikio yake hayampi uhalali wa familia yake kuishi maisha yenye staha kama waishivyo sasa...

I am not saying he was perfect. No he wasn't because the bible says, we are all sinners na kwa neema ya Kristo tunawekwa huru na dhambi zote za asili na zingine...

I am totally against you. These children of the late Mahiga they deserve every citizenship rights as any other Tanzanian citizens no matter what social status they possess...

You have no right to judge them negatively just because of their personal life style. You have no right to deny their citizenship rights whatsoever....

Kama wewe na wazazi wako mliamua kuubeba ujinga na umasikini wa mawazo na kipato kwa sababu ziwazo zozote zile, basi hiyo ni sehemu ya maisha yenu, si kwa wengine.

Hii ni bahati mbaya sana kwako. Hata hivyo na kwa sababu mko hai, iko njia ya kupita na kurekebisha mambo lakini kwa sharti la kuiacha roho ya wivu kwa wengine!!
 
Back
Top Bottom