Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,754
- 4,868
Ukisoma nyuma utaona nazungumzia Flaw. Obama made up for his thin resume by having extraordinary inteligence and squecky clean background.
Sasa huyu shake before use wetu Makamba, mtihani wa kidato cha nne aliiba, akafutiwa matokeo.msaada wa mzazi wake akabebwa kuwa msaidizi wa JK, nina uhakika hakukuwa na job interview yoyote ya nafasi yake.Ubunge wake kaupata kwa fitina za wazi wazi, wamembeba tena kuwa naibu waziri, madudu kila siku, mara kodi ya simcard, ara cyberlaw za kijima na mambo mengi ya hovyo.
Samahani you can not possibly compare Makamba with Havard Law graduate and Professor, Barack Obama.You are taking Obama credentials way too lightly.
Nielewe, sishabikii Makamba wala Mahiga. wote kwangu sioni ninachodhani kitawasaidia wa-TZ. Malizia sentensi mkuu. Nilitoa mifano ya obama na Hollande naona unaishia kwa Obama. Ningeweza kuendelea kwa Vladimir Putin aliyekuwa PM in less than a year then a president.
Let's separate academic credentials and politicking. Obama may have been a fine man checked from all sides, academic and political. Hilo halitokei kwa wote na ndo maana tunaojiiita wasomi tunapopotelea. Tunadhani ukiwa na Masters na PhD basi wewe ni safi sana! Au umetoka Harvard, perfect!Yes, ni safi kwa mambo yako siyo haya mengine ya kwetu.
Jamani, mbona Einstein hakupata urais US! De Broglie hakupata urais France! Mendeleev hakupata urais USSR! Au mbona Seaborg pia hakupata kuwa PM wa UK! Hawa hawakusoma Harvard lakini wameigeuza dunia kuliko graduates wa Harvard.