Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,704
- 155,785
kama angekua na vyote hivyo kama unavyosema angejulikana, lakini hana ndio maana hatumjui, mpaka mtuambie, see the difference??
Sio sawa.
Kujulikana inatakiwa uweze kupanda ngazi za kichama na serikali zinazohitaji rushwa na majungu. Kama ubunge/uwaziri na uongozi wa vyama vya siasa.
Hizi si njia pekee za utumishi wa umma.
Huyu kapanda ngazi za utumishi wa umma kupitia ubalozi. Kutojulikana kwake kwa watu kama nyie msiofuatilia habari za kimataifa ni matokeo ya upeo mdogo wa Watanzania na focus kwenye local politics na majungu. Mahiga hajawa na majungu na mtu mpaka sasa, hivyo kujulikana chance inakuwa ndogo.
Again, kujulikana kuna watu wanajulikana sana, kwa mabaya.
Si kigezo muhimu, kwani hata sasa tunavyomuongelea anajulikana.
Nimekuja hapa nikafikiri kuna kibaya cha Dr. Mahiga kafanya kitaongelewa.
Nakuta ooh, ana suti ya dola elfu kumi (Mahiga was raised with theNyerere humility and knows the value of the dollar, would never indulge like that). Oooh, watoto wake wanaongea Kiingereza vizuri (tatizo nini).
Kifupi kama huu uzushi is the worst about Dr. Mahiga, then he passes the test for me.