Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 1,712
- 3,074
Miaka 6k tu... mkuu.Wewe unafikiri ni miaka mingapi binadamu wamekuwepo duniani na kwa sababu zipi?
Miaka 6k tu... mkuu.Wewe unafikiri ni miaka mingapi binadamu wamekuwepo duniani na kwa sababu zipi?
Kwa nini unaamini ni miaka 6000 tu ?Miaka 6k tu... mkuu.
Kwa utafiti wa maandiko mkuu.Kwa nini unaamini ni miaka 6000 tu ?
Kwa hiyo wanasayansi waliofanya radiometric dating maabara na kuchungiza fossils za kila aina kona mbalimbali za Dunia wanakuacha hoi wakisema binadamu wamekuwepo duniani kwa miaka 300,000 lakini unabugia maandiko yalioandikwa na wachunga mbuzi wa Mashariki ya kati miaka 4000 waliosema wanazungumza na mtu huko mawinguni bila chembe ya uthibitisho kama ukweli halisi!😁Kwa utafiti wa maandiko mkuu.
Hahahhhh watu wameongozwa na MUNGU nyie mnakazana kupima sijui maradiometric!Kwa hiyo wanasayansi waliofanya radiometric dating maabara na kuchungiza fossils za kila aina wanakuacha hoi wakisema binadamu wamekuwepo duniani kwa miaka 300,000 lakini unabugia maandiko yalioandikwa na wachunga mbuzi miaka 4000 waliosema wanazungumza na mtu huko mawinguni bila chembe ya uthibitisho!
Naam, sasa mimi nimenyoa kipara sina nywele.Hahahhhh sasa unakunyaje kipara mkuu? kunakunyoa ama kusuka tu!
Kila mtu ni Atheist in nature.
Mwingine aliyeongozwa na mungu ni Joseph Smith aliyesema Yesu alipofufuka alienda kuishi Marekani na pia Alipewa sahani za dhahabu kutoka kwa malaika Moroni zenye maandiko aliyotumia kuandika kitabu cha Mormon.Hahahhhh watu wameongozwa na MUNGU nyie mnakazana kupima sijui maradiometric!
Huyo jamaa analake jambo... hiyo dini ina crazy beliefs!Mwingine aliyeongozwa na mungu ni Joseph Smith aliyesema Yesu alipofufuka alienda kuishi Marekani na pia Alipewa sahani za dhahabu kutoka kwa malaika Moroni zenye maandiko aliyotumia kuandika kitabu cha Mormon.
Duh hapa panahitaji logic!Naam, sasa mimi nimenyoa kipara sina nywele.
Wewe unaniambia kunyoa kipara ni mtindo wa kusuka nywele.
Sawa hiyoo?
Binadamu ametokana na nini?Kila mtu ni Atheist in nature.
Hata wewe ni Atheist na ulizaliwa ukiwa Atheist.
Atheist ni mtu asiyekuwa na imani ya aina yoyote ile ya Mungu au miungu.
Mtu yeyote anapozaliwa anakuwa hana imani ya aina yoyote ile. Mpaka pale wazazi au walezi wake wanapo introduce imani ya Mungu kwako.
Ndio pale watoto hufundishwa kusali, kumuomba huyo Mungu.
Watoto hupelekwa mafundisho ya komunyo na kipaimara.
Watoto wa kiislamu hupelekwa madrasa.
Hii yote ni kumtoa mtoto kutoka kuwa Atheist mpaka kuwa Theist.
Hakuna anayezaliwa na imani ya Mungu.
Hakuna aliye zaliwa na imani ya Mungu.
Kila mtu amezaliwa Atheist bila kuwa na imani yoyote ile ya Mungu.
Sperm+ ovum(egg)Binadamu ametokana na nini?
Hizo sperm+ovum(egg) zimetokana na nini?Sperm+ ovum(egg)
Mbegu ya mwanaume + yai la mwanamke.
Hahahhhhhhhh dah! kwa hiyo ulitaka afanye utafiti...Achakuokoteza vitu Wikipedia
Mfumo wa uzazi wa mwanaume na mfumo wa uzazi wa mwanamke.Hizo sperm+ovum(egg) zimetokana na nini?
Hiyo mifumo imetokana na niniMfumo wa uzazi wa mwanaume na mfumo wa uzazi wa mwanamke.
Hapa sasa tunahamia kwenye falsafa.Hiyo mifumo imetokana na nini
Ipi isiyo crazy belief?Huyo jamaa analake jambo... hiyo dini ina crazy beliefs!