Hii ndio CCM ya Magufuli iliyotoa fursa nje ya watoto vigogo!

Waache Vigogo wa enzi hizo na watoto wao waendelee kubwabwaja na kulialia .....Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi amekuja kufungua fursa zilizozibwa kwa miaka mingi.

leo hii mtoto wa kajambanani au mtoto wa masikini anaweza kuteuliwa au kushinda na kuwa kiongozi wa chama.hili jambo lilishasahaulika zamani sana.

Nimeshuhudia kijana na mtoto niliyempakata aliyetokana na wazazi wafanyakazi wa hali ya chini (baba akiwa dereva) ameweza kuupata ukatibu ...hili halikuwezekana few years back.

MZEE BABA JPM ENDELEA KUTUMBUA TUPO NYUMA YAKO KUZOA USAHA NA MACHOZI YA HAWA WEZI NA MAFISADI
Mtetezi wa wanyonge,tunaendelea kukuombea uzima na afya tele,na kama mzee Mwinyi alivyosema ikiwezekana ukimaliza muhula wako tuiahirishe katiba kidogo ili uendelee kutunyoosha...
 
Najua kwa nini Mzee Mwinyi alisema hivyo...ile siku ilee ya uteuzi wa Dr. Hussein ilikuwa siku ya furaha saana kwa mwenyekiti wetu mstaafu..akajikuta tu kaongea :D:D (sisemi karopoka nitakuwa ninamkosea heshima mzee wangu Ali..)
 
Mtetezi wa wanyonge,tunaendelea kukuombea uzima na afya tele,na kama mzee Mwinyi alivyosema ikiwezekana ukimaliza muhula wako tuiahirishe katiba kidogo ili uendelee kutunyoosha...
Kachukue form kijana fursa zipo wazi
 
Waache Vigogo wa enzi hizo na watoto wao waendelee kubwabwaja na kulialia .....Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi amekuja kufungua fursa zilizozibwa kwa miaka mingi.

leo hii mtoto wa kajambanani au mtoto wa masikini anaweza kuteuliwa au kushinda na kuwa kiongozi wa chama.hili jambo lilishasahaulika zamani sana.

Nimeshuhudia kijana na mtoto niliyempakata aliyetokana na wazazi wafanyakazi wa hali ya chini (baba akiwa dereva) ameweza kuupata ukatibu ...hili halikuwezekana few years back.

MZEE BABA JPM ENDELEA KUTUMBUA TUPO NYUMA YAKO KUZOA USAHA NA MACHOZI YA HAWA WEZI NA MAFISADI
Kuna mtu anajidai kufuta thread zangu humu , tusinyamazishane jamani,
 
Back
Top Bottom