Hii ndio CCM ya Magufuli iliyotoa fursa nje ya watoto vigogo!

Hakuna jipya ndani ya CCM ,Nyerere hakuwa na makundi,Mwinyi hakuwa na makundi, Mkapa hakuwa na makundi, angalia makundi yalipoanza ,angalia athari zake hivi leo fikiria rais akiwa mkaguru na yeye ataangalia watu wa kabila lake wote ndiko tuliko sasa
Hii nchi imeanza kuondokana na ukabila na upumbavu mwingi sana kwasasa kama ulikuwa hujui.
Zamani kwenye mashirika, taasisi na hata wizara ilikuwa kuna mambo ya Ukanda, Udini, Ushule/ Uchuo, U dar nk
 
Hivi tumbua tumbua ya Jiwe ni sababu ya kulinda maslahi ya taifa au maslahi yake binafsi baada ya kuhofia kwamba atapingwa?
 
Waache Vigogo wa enzi hizo na watoto wao waendelee kubwabwaja na kulialia .....Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi amekuja kufungua fursa zilizozibwa kwa miaka mingi.

leo hii mtoto wa kajambanani au mtoto wa masikini anaweza kuteuliwa au kushinda na kuwa kiongozi wa chama.hili jambo lilishasahaulika zamani sana.

Nimeshuhudia kijana na mtoto niliyempakata aliyetokana na wazazi wafanyakazi wa hali ya chini (baba akiwa dereva) ameweza kuupata ukatibu ...hili halikuwezekana few years back.

MZEE BABA JPM ENDELEA KUTUMBUA TUPO NYUMA YAKO KUZOA USAHA NA MACHOZI YA HAWA WEZI NA MAFISADI

Kama ni watoto wa vigogo mbona anao kibao?

Mawaziri akina Hussein Mwinyi

Mabalozi kibao

Wakuu wa mikoa akina Mongella etc

Wakuu wa Wilaya akina Sitta

Alichofanya ka-target mmoja tu wa Makamba!

Baba mtu ndie alieongea kwenye simu lakini mtoto ndie anafukuzwa kazi!

Naona jamaa ana mis-target tu!

Afterall sipendi CCM in any way shape or form,waache wauane wote!

Humo humo wauane!
 
Njaa itakumaliza dogo mwenzako waitara na Mtatiro leo wana Kula nchi wewe unakauka midomo kama una homa ya dengue
Mkuu, hawa watumikao hawajitambui wala hawajijui na mwisho wa siku wanakanwa hadharani. Wanaaminishwa chama ni chao huku wenye chama chao wanapeana fursa na wapndwa wao. Hawa macho kumchuzi wanakata viunu na kushangilia huku hawaijui kesho yao wala ya wana wao...
 
Hawajitambui kabisa kazi kushinda mitandaoni wakijisifu kuwa wao ni ccm na ccm ni yao lkn linapo kuja suala la ulaji wanatupwa kwenye dust bin
Mkuu, hawa watumikao hawajitambui wala hawajijui na mwisho wa siku wanakanwa hadharani. Wanaaminishwa chama ni chao huku wenye chama chao wanapeana fursa na wapndwa wao. Hawa macho kumchuzi wanakata viunu na kushangilia huku hawaijui kesho yao wala ya wana wao...
 
Back
Top Bottom