msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,883
Huyu anatafuta njia ya kuchutama...walikua wanaamini serikali haijawahi kuibiwa wala kupoteza hata mia ndani ya miaka 5...sasa hivi wanaoa aibu..wanajifanya ooo chuma mwingine kaingia. Wkt kaanza kuonyesha madudu wa aliyepita.Chuma kilichotoka ndiyo hicho kimebainika kuleta hasara kubwa mno kwenye ATCL??
Na ile bil 28 iliyotengenezwa hata mwaka haujafika ile haijahesabiwa?? Au umesahau bwana mkubwa alisema wametengeneza faida ndani ya miezi 6, sasa wewe tena unaleta story ya miaka 10? Kwahiyo ije hasara ya bil 60 kila mwaka mpk ifike miaka 10 ndo tuanze faida...hivi hii bil 60 hainunui ndege kweliMiradi mikubwa huanza kutengeneza faida baada ya miaka zaidi ya 10 bwashee!
Hii itakuwa kwa mujibu wa ilani ya mbogamboga naona.Miradi mikubwa huanza kutengeneza faida baada ya miaka zaidi ya 10 bwashee!
Itafahamika tu hata tusiyoyajua.Mama very soon atathibitisha serikali ya meko ilikuwa ya kifisadi kuliko zota hapa Tanzania tangu tupate uhuru.
Majizi yalikuwa yanajificha kwenye kichaka cha uzalendo...
Haha mataga mmebaki vinywa wazi baada ya maufisadi ya mzee wenu kuanza kubumburuka.Miradi mikubwa huanza kutengeneza faida baada ya miaka zaidi ya 10 bwashee!
Amina!Mama nizawadi kutoka kwa Mungu
Hahahaaaa....... Tutsfika hadi kwenye ruzuku bwashee!Haha mataga mmebaki vinywa wazi baada ya maufisadi ya mzee wenu kuanza kubumburuka.
Nakunywa mbege bwashee!Wee! Tafuta "Wanzuki" baridi unywe upate akili.
Yani mama hajasubiri hata mmalize Eda 🤣🤣🤣Hahahaaaa....... Tutsfika hadi kwenye ruzuku bwashee!
Magufuli alikuwa anaongoza serikali iliyojaa majiziItafahamika tu hata tusiyoyajua.
Kikubwa watanzania wote vyama vyote vishaelekea kibla.
Twende na Rais Samia mpaka kieleweke.
Kwasasa twenda na serikali ya Rais Samia.Magufuli alikuwa anaongoza serikali iliyojaa majizi
Hawa Nashangaa sana kuona mtu anafurahia kitendo cha kufutwa kaziViongoz wengi wa ccm wanajua watz wengi coz n MASKINI sn hufurahia wakisikia flan kafutwa kaz...na ndo ilikuwaa kiki za hayat...huyu mama ajiepushe na kikombe hicho
Kabisa mkuuChuma kilichotoka ndiyo hicho kimebainika kuleta hasara kubwa mno kwenye ATCL??
Hakika mkuu!Kwasasa twenda na serikali ya Rais Samia.
Ni moto wa kuotea mbali,hakika CCM ina hazina ya viongozi.
Vyama vyote vimeshalegea wanakuna vichwa,wafuasi wao wote mko na Mama Samia.
Twende na Rais Samia Tanzania tupige hatua.
Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.
CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.
Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.
Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.
Nilitaka kusahau, pengo la Dr Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.
RIO Magufuli!