Hii ndio CCM kimetoka chuma kimeingia chuma siyo kama CHADEMA kaondoka Dkt. Slaa imepoteza mwelekeo

Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.

CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.

Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.

Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.

Nilitaka kusahau, pengo la Dr Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.

RIO Magufuli!
Ni mpinzani gani ambaye hajawahi kuwa mwanachama Wa ccm,sema Tanzania kuna hazina ya viongozi.
 
Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.

CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.

Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.

Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.

Nilitaka kusahau, pengo la Dr Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.

RIO Magufuli!
Mkuu mbona nakuchukuliaga una akili kubwa tofauti na hiki ulichoandika hapa? Usijishushe kiasi hiki mkuu
 
Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.

CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.

Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.

Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.

Nilitaka kusahau, pengo la Dr Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.

RIO Magufuli!
Mliimba sana mapambio na kukata mauno airport kumbe mnatupotezea mabilioni ya shilingi.
Na kama haitoshi mnatupa takwimu za waliofuatilia msiba kumbe ni takwimu za mihela uliyoipiga bandarini.
Jitahidini kuwa wepesi wa kutubu maana corona huwa haimpi mtu muda wa kutubu .
 
UPUUZI MTUPU!!! Mbona mlipora uchaguzi kama Chadema imepoteza mwelekeo? Acha KUKURUPUKA Bwashee kuandika ujinga wako.

Back
Top Bottom