johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,026
Anahitaji joto..anajitekenya mwenyewe halafu anacheka.Una ubaridi wewe...
Ndio maana nguvu nyingi zingetumika kuwasaka wahalifu wa kule TwitterChuma kilichotoka ndiyo hicho kimebainika kuleta hasara kubwa mno kwenye ATCL??
Kama upinzani walidhani kuna gepu basi gepu limebanwa zaidi...Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.
CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.
Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.
Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.
Nilitaka kusahau, pengo la Dr Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.
RIO Magufuli!
Miradi mikubwa huanza kutengeneza faida baada ya miaka zaidi ya 10 bwashee!Chuma kilichotoka ndiyo hicho kimebainika kuleta hasara kubwa mno kwenye ATCL??
Umesahau kuandika kwamba leo tu Rais Samia katuthibishia kuwa Magufuli alikuwa akiwalinda majizi bandarini, ATCL na hata ikulu majizi yalikuwepo naye wafisadi nchiKwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.
CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.
Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.
Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.
Nilitaka kusahau, pengo la Dr Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.
RIO Magufuli!
Samia lazima atamkamata Magufuli kuwa naye alikuwa fisadi mbobevuKama upinzani walidhani kuna gepu basi gepu limebanwa zaidi...
CAG kesho yuko BOT bwashee.Ndio maana nguvu nyingi zingetumika kuwasaka wahalifu wa kule Twitter
Kakoko alikuwa anajilinda yeye mwenyewe bwashee!Umesahau kuandika kwamba leo tu Rais Samia katuthibishia kuwa Magufuli alikuwa akiwalinda majizi bandarini, ATCL na hata ikulu majizi yalikuwepo naye wafisadi nchi
Wapinzani kwisha habari yako!Kama upinzani walidhani kuna gepu basi gepu limebanwa zaidi...