Hii ndio CCM kimetoka chuma kimeingia chuma siyo kama CHADEMA kaondoka Dkt. Slaa imepoteza mwelekeo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,560
Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.

CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.

Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.

Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.

Nilitaka kusahau, pengo la Dkt. Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.

RIP Magufuli.
 
Chadema lini ilishika madaraka ya nchi!! Njia ya vyama mbadala Afrika imejaa miiba na mawe, siyo kama vyama vilivyopo madarakani.

Chadema ikiwa madarakani ndiyo utaona hiyo hazina ya viongozi. Kwa siasa za uadui kuingia chama tofauti ni kujitoa mhanga,
 
Viongoz wengi wa ccm wanajua watz wengi coz n MASKINI sn hufurahia wakisikia flan kafutwa kaz...na ndo ilikuwaa kiki za hayat...huyu mama ajiepushe na kikombe hicho
 
Hazina ya uongozi ndio hao wezi wa kura?!
'Hata msipoipigia kura ccm, itatangazwa tu kuwa mshindi'
Kwa kauli hiyo ya samia, mimi namuona tu kuwa ni mmoja wa wezi kama ilivyo kwa wanaccm wenzake. Kama angekuwa kiongozi bora asingeshiriki uovu wa tawala za ccm.
Hiviiiiii.....lile bunge la katiba ambalo huyu mama alikuwa makamo mwenyekiti lilikwapua kiasi gani vile?!
 
Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.

CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.

Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.

Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.

Nilitaka kusahau, pengo la Dr Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.

RIO Magufuli!
Kama upinzani walidhani kuna gepu basi gepu limebanwa zaidi...
 
Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi.

CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa.

Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi.

Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi March 2021 ndio mtajua CCM haina mambo ya kulindana kama wale watani zetu Chadema.

Nilitaka kusahau, pengo la Dr Slaa hapo Ufipa lingalipo hadi leo.

RIO Magufuli!
Umesahau kuandika kwamba leo tu Rais Samia katuthibishia kuwa Magufuli alikuwa akiwalinda majizi bandarini, ATCL na hata ikulu majizi yalikuwepo naye wafisadi nchi
 
Kakoko alikuwa anajilinda yeye mwenyewe bwashee!
 
Huyu mama kiboko huyo aliyemtumbua waliyotangulia walishindwa mtumbuaa wala kumgusa

Ova
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom