Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,220
- 3,206
Kula maisha achana na mambo ya mashamba. Tafuta mrembo mzuri na Gari kali ya kutembelea.vitu vyote tutaviacha,hivyo,ni bora kuponda raha kadri uwezavyo.
Siku ya mwisho ni ipi?Naogopa hukumu ya siku ya mwisho
Upo uwezekano wa kwenda navyoKula maisha achana na mambo ya mashamba. Tafuta mrembo mzuri na Gari kali ya kutembelea.vitu vyote tutaviacha,hivyo,ni bora kuponda raha kadri uwezavyo.
Hizi barabara, viwanda vya sukari, mafuta, nguo n.k vinajengwa kwa nini, wakati tutaviacha? Ingawa wewe ni mmojawapo wa watumiaji wa hivyo vitu?Kula maisha achana na mambo ya mashamba. Tafuta mrembo mzuri na Gari kali ya kutembelea.vitu vyote tutaviacha,hivyo,ni bora kuponda raha kadri uwezavyo.