Hii ndio akili

Hii ndio akili

Tukirejea nyuma, mwalimu ulishasema Hela hazina umuhimu kabisa katika maisha yako.
ila mahubiri yako mengi yanalenga Hela zile zile ulizozipiga vita na kuzikana hapa jukwaani.

Hivi ile jeuri ulijifunzia Chuo gani au ilikuwa sehemu ya GS huko chuoni ?
 
Hili wazo linakupa vitu, badala ya hela; yaani ukilifanikisha, unaweza kuishi bila hela.
Sasa wewe upo mjini, kila kitu unatumia hela; ukitaka mchicha wa 500, hela; ukitaka mayai hela n.k.
Kwa mazingira hayo, bila hela hutoweza kuishi.
Tubadilike.​
 
H
Ukishajenga nyumba ya kwanza, ya pili huna haja ya kujenga nyumba za namna hiyo tena.

Akili inatakiwa ikue; tafuta shamba kuanzia ekari ishirini na kuendelea, ndani ya hilo shamba jenga nyumba yako ndogo tu, na weka uzio kwenye hilo eneo lako lote.

Tafuta wale wanaochimba visima virefu, chimba visima 2 na jenga minara mirefu miwili ya matanki ya lita 20,000 kila mnara.

Vuna maji kwenye visima na pandisha kwenye matanki, fanya kilimo cha umwagilia wa mboga mboga unazozifahamu hapa duniani.

Kusanya hela za mauzo.

Wamatumbi watakuwa wanasema, pale ni kwa mu-Israel kwa sababu hii akili wanayo wao tu na mimi basi.

Usione fahari ya kutembelea mabati ya milioni 200+ wakati huna kitu cha namna hii nilichoeleza.

Hii ndio akili.​
Hii elimu umeitoa bureee ila kiuhalisia watu walitakiwa walipie angalau hata 100 mia tu.
 
Ukishajenga nyumba ya kwanza, ya pili huna haja ya kujenga nyumba za namna hiyo tena.

Akili inatakiwa ikue; tafuta shamba kuanzia ekari ishirini na kuendelea, ndani ya hilo shamba jenga nyumba yako ndogo tu, na weka uzio kwenye hilo eneo lako lote.

Tafuta wale wanaochimba visima virefu, chimba visima 2 na jenga minara mirefu miwili ya matanki ya lita 20,000 kila mnara.

Vuna maji kwenye visima na pandisha kwenye matanki, fanya kilimo cha umwagilia wa mboga mboga unazozifahamu hapa duniani.

Kusanya hela za mauzo.

Wamatumbi watakuwa wanasema, pale ni kwa mu-Israel kwa sababu hii akili wanayo wao tu na mimi basi.

Usione fahari ya kutembelea mabati ya milioni 200+ wakati huna kitu cha namna hii nilichoeleza.

Hii ndio akili.​
Akili
 
Back
Top Bottom