faokipe
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 1,017
- 1,172
Niende kwenye nada moja kwa moja ,nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2019 nikapata nafasi ya kwenda chuo kikuu, mkopo sikupewa (nilikosa) kutokana na changamoto ya kipato kwenye familia nikawa Sina namna ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
Juzi hapa likatoka tangazo la nafasi za kazi polisi nimeomba nkapeleka na Cheti Hadi Cha mafunzo ya JKT tunaambiwa tutaitwa kwenye usaili !!
Siku ya siku tukaitwa kupima afya kwenye usaili tunaambiwa wanaohitajika kwenye kazi ya polisi Ni form four wenye daraja la nne na form six daraja la tatu
Kwa hivyo vigezo nikatupwa nje ya usaili maana form form Nina division two na form six pia Nina division two!
Hapa najiuliza Ina maana kusoma kwangu huku hakunisaidii chochote
2: Jeshi la polisi linahitaji watu wasio na elimu kubwa?
Wakuu naomba kuwasiliana