Hii nayo imekaaje?

Hii nayo imekaaje?

Zed

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
553
Reaction score
541
AM%2B3.jpg
 
Angalia aina ya hadhira iliyopo. Mtaka cha Uvunguni, Sharti Ainame.
 
Huyu jamaa anasalimia utadhani mwanamke. Simama kiume wewe!
 
Ananikumbusha kiranja wetu Moshi Tech alivyokuwa mnafika kwa Headmaster! Nimejaribu kupata kujua yeye ni nani bila mafanikio! Lakini sio tu Mkulu anamshangaa hata wengine. Kama picha inayoweza kuonyesha unafiki bila maneno basi hii ni No1.
 
hahahahha duhhh comment za waliochangia hapo awali ..
vichekesho kwa kweli..watanzania kwa kuponda tumejaliwa lohhh
 
Ananikumbusha kiranja wetu Moshi Tech alivyokuwa mnafika kwa Headmaster! Nimejaribu kupata kujua yeye ni nani bila mafanikio! Lakini sio tu Mkulu anamshangaa hata wengine. Kama picha inayoweza kuonyesha unafiki bila maneno basi hii ni No1.

nani huyo kiranja . Hapo m. Tech ? Miaka gani hiyo mpande alikuwepo. Au ni msöngela nini?
 
asee ni kweli na mnafiki mwingine amesimama pembeni hapo...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom