Sasa kama mwajeshi anabebwa, tunamtegemea nani kuokoa waliozama kwenye mafuriko!?
Sasa kama mwajeshi anabebwa, tunamtegemea nani kuokoa waliozama kwenye mafuriko!?
Somalia mkuu,alshabab huyoAskari mwenyewe kavaa open shoes,wa nchi gani huyu?
Sio askari wa bongo huyu maana wanavyo pendaga sifa!! Sidhan kama angekubali kubebwa.
Kuna atakuwa anatumikia adhabu hapo...maana wandata wana sifa sana