Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,544
- 18,432
Atakuja kwanza Benedict kabla ya KenethVipi haijaambatana na Mheshimiwa Mgeni Rasmi, Bw. Kenneth? Au yeye atafika kesho? Wataalam wanasemaje?
Atakuja kwanza Benedict kabla ya KenethVipi haijaambatana na Mheshimiwa Mgeni Rasmi, Bw. Kenneth? Au yeye atafika kesho? Wataalam wanasemaje?
Vyote bora. Tatizo binadamu hatuna shukrani.Mvua na jua bora nini?
Watu wa Dar ni tatizo hapa nchini.Si mliomba ije.
Malalamiko mengi eti mchi nzima hakuna mvua,watu wa dar bana
Sio wote ni viumbe kutoka dar sisi wa huku morogoro tunapalilia mpunga.Vyote bora. Tatizo binadamu hatuna shukrani.
Upo Moro wilaya gani ?Sio wote ni viumbe kutoka dar sisi wa huku morogoro tunapalilia mpunga.
MufindiUpo Moro wilaya gani ?
IrrelevantMufindi
Tatizo mkuu wanaokaa mabondeni ndio wanaoifanya kariakoo ichangamke kisha hiyo kodi inawaletea dawa hukooo MtwaraMara kwa mara serikali inawaambia acheni kujenga/kukaa mabondeni lakini hamuelewi. Acha mpambane na hali zenu.
Ufafanuzi pleaseHii mvua imerudisha heshima za nyumba....
Bora iendelee tu
Tuombe isilete madhara
Ukiitoa Dar Tanzania inarudi nyuma miaka 100Watu wa Dar ni tatizo hapa nchini.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mila na desturi zimeainishwa kupaswa kuenziwa kikatiba.
Salimie "rasta nyoka"
Kaeni mabondeni. Lakini mkizidiwa na mafuriko msiisumbue serikali yetu.Tatizo mkuu wanaokaa mabondeni ndio wanaoifanya kariakoo ichangamke kisha hiyo kodi inawaletea dawa hukooo Mtwara
Andika taratibu mkuu ili tuelewe. Au unawahi foleni ?Ukiitoa Dar Tanzania inqruri nyuma miaka 100
Huku Mikoa ya Nyanda za Kusini mvua zinanyesha hadi basi lakini hatupigi pigi kelele.
Nyie watu wa Dsm mkoje , kitu kidogo mtapiga kelele dunia nzima.
Mazoea/ utoto/uzembe/ kujifanya wageni na mvua kwa watu wa Mzizima ?We nawe mazoea huyajui na unafananishaje dar na mikoa ya nyanda za kusini
Kwa hali ya dar bora jua aisee..Mvua na jua bora nini?