Mzee huku ikinyesha kidogo tu watu wanalala juu ya paa je nyie mko hivyooHuku Mikoa ya Nyanda za Kusini mvua zinanyesha hadi basi lakini hatupigi pigi kelele.
Nyie watu wa Dsm mkoje , kitu kidogo mtapiga kelele dunia nzima.
Dar sio mkoa wa wakulima hii. Ndo sababu watu tinawahi kuichoka mvua dar kila. Mtu ni mfanya biashara maji, soda, juice na vinywaji vingine vingi, leso yaani dareck, lalamba ya baresa azam sasa wapi na wapi na mamvua inyeshe huko huko mikoani mnakulima mazao sio dar.Huku Mikoa ya Nyanda za Kusini mvua zinanyesha hadi basi lakini hatupigi pigi kelele.
Nyie watu wa Dsm mkoje , kitu kidogo mtapiga kelele dunia nzima.
Hahahahaaa mbavu zangu miee.. Wa Dar mkuje hukuHuku Mikoa ya Nyanda za Kusini mvua zinanyesha hadi basi lakini hatupigi pigi kelele.
Nyie watu wa Dsm mkoje , kitu kidogo mtapiga kelele dunia nzima.
Barabara zinageuka mito na mikondo ya majiHahahahaaa mbavu zangu miee.. Wa Dar mkuje huku
Siyo wote mkuu hao ni Chadema!! Wanapenda kulalamika lalamika sasa naona wanataka kumlalamikia Mungu sasa!Huku Mikoa ya Nyanda za Kusini mvua zinanyesha hadi basi lakini hatupigi pigi kelele.
Nyie watu wa Dsm mkoje , kitu kidogo mtapiga kelele dunia nzima.
Mkuu hata mimi nimecheka hadi mkewangu kanishangaa hapa kitandani. Yaan jf ni rahaa burdaniii mpaka mwishooo mwanawaneeHahahahaaa mbavu zangu miee.. Wa Dar mkuje huku
Huku imeshaharibu yani vilinge vyote kasoro changu tunguli zimelowana zoteTuombe isilete madhara