Hii mvua Dar naona inaongezeka mara dufu

Hii mvua Dar naona inaongezeka mara dufu

Mvua itaendelea kupiga wiki hii yote, siku ya kesho Jumanne kutakuwa na jua kiasi.
Ila baada ya hapo ni mvua mpaka Ijumaa.
 
Kwa hali ya dar bora jua aisee..

Mvua ikinyesha kupita kiasi dar inatutesa maana hali ya miundo mbinu yetu hairuhusu hali za Mvua namna hii
Inabidi itafutwe solution ya kudumu sio kutegemea huruma ya nature.
 
Back
Top Bottom