Hii misemo ya vijana wa leo hasa ktk mitando ya kijmii!

Hii misemo ya vijana wa leo hasa ktk mitando ya kijmii!

Kinyesi hakina mwiba lakini ukikikanyaga lazima uchechemee.

Hata uwe na bahati vipi, huwezi kuokota nyumba.

Picha ya Rais haina Bodyguard.

Urefu na ufupi ni majaliwa ya Mungu,
Unene na wembamba ni juhudi binafsi.

Hata uwe na kontena mia za viatu, Usiku lazima ulale peku.

Paka haishi nyumba ya Msela.

Ukitaka kujua shotikati, poteza nauli.

Ikisimama Panda,
Ikinywea Shuka.

Mependa ha po kwenye red!!!! :becky: :becky:
 
- Kikombe cha kahawa hakina kisosi...

- Sms ya kuuliza salio huwa haiseviwi...

- Pengo linampendeza mtoto...

- Maua ya kwenye shuka hayanukii....

- Aliyegundua raba naye pia anaogea kandambili

- Hata wazungu wa vivuli vyeusi

-
 
hahahahahaha
 
Umetishaje bidada!
 
  1. mwanamke hasingiziwi mimba
  2. hata wazuri nao huchimba dawa
  3. kitimoto hachinjwi na sheikh
  4. ukiona mtoto kaanza kumega matonge makubwa makubwa kama ya baba yake jua huyo kakuwa
  5. maajabu ya computer ina window lakini haina door.
 
Hahahaaaa... Umeua mkuu!!!
 
Ukinichukia hasara yako, ukininunia imekula kwako.

Teja habebeki.

Macho yaliyozoea mlima hayashangai kichuguu.

Ubishoo bila hela sawa na upara bila elimu.
CC: tedo

Gari la kuvutwa haliovertake.

Kandambili haipigwi kiwi.

Mlinzi hapewi godoro.

Ncha ya mkuki haipigwi konzi.

Mganga haagizi tembele.
 
Last edited by a moderator:
1. Dume la Nyani huwa haliogopi umande...
2. Mtangazaji wa taarifa ya habari huwa haulizwi swali...
3. Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo...
4. Jiko la gesi halichomi mahindi...
5. Kama mkaa ni mchafu mbona hauoshwi?
6. Hata mvua inyeshe vipi, lakini haijazi bahari...
7. Ugali mkubwa, mboga kidogooo...hayo ndio maisha ya msela.
8. Tumbo lingekua la kioo, wa Masaki wasingevaa mashati...
 
Shem, umetisha kama kimeta...
Halafu si unajua kuwa njaa haina baunsa.

Back
Top Bottom