1. Kama nyuki angekua mkali basi asali isingeliwa
2. Simba jike na ukali wake wote lakini ana familia...
3. Nungunungu na mamiba yake yote lakini bado anapandwa...
watu8 , umekuaje Mhe? Tupa mbali kumung'unya habari !
Hapo No2 , kumhusu Lion! Sijui Simba anafamilia!
"sema tu wazi , "Simba na ukali wake lakini ANAKANYAGWA"
Afu ni kama vile umemlenga MNYAMA (LUNYASI) wa MSIMBAZI hivi! Maanake ni jana tu amemalizwa kukanyagwa na vitoto vya Angola. watu8 bwana unatumaga maujumbe kwa kuzunguuukaaa!

1. Utaonja vyakula vyote lakini maji ya ugali hayaonjwi...
2. Hata ukiwa bingwa wa kuchukia uchafu, huwezi kuchimba shimo la taka sebuleni...
3. Hata uwe na bahati kiasi gani, huwezi kuokota nyumba...
4. Mwanaume hata aumwe vipi, haendi leba....
5. Uzuri wa mwanamke tabia, sura hata mbuzi anayo...
6. Hata DJ awe maarufu vipi, hawezi kupiga wimbo wa taifa disco...
7. Hata gari lijae vipi, dereva hakosi siti...
8. Hata uwe sharo vipi, ukiingia bafuni lazima uvue nguo...
9. Hata uwe na tamaa vipi huwezi kutamani kifo......
10. Hata uwe mjuzi wa kuchagua, huwezi kuchagua sanda...
mie nakuogopa kuanzia leoo...
Kinyesi hakina mwiba lakini ukikikanyaga lazima uchechemee.
Hata uwe na bahati vipi, huwezi kuokota nyumba.
Picha ya Rais haina Bodyguard.
Urefu na ufupi ni majaliwa ya Mungu,
Unene na wembamba ni juhudi binafsi.
Hata uwe na kontena mia za viatu, Usiku lazima ulale peku.
Paka haishi nyumba ya Msela.
Ukitaka kujua shotikati, poteza nauli.
Ikisimama Panda,
Ikinywea Shuka.