Hii Minong'ono itaathiri bei ya hisa za CRDB?

Hii Minong'ono itaathiri bei ya hisa za CRDB?

Fascinating

Senior Member
Joined
May 14, 2025
Posts
124
Reaction score
304
Agosti mwaka huu, CRDB ilikuwa trendy sana, market cap ya Tsh trilioni 3.6 na hisa zake ziliuzwa kwa zaidi ya Tsh 1,500. Kila mtu alitaka kuzinunua, akitumaini mambo yatazidi kuwa matamu, lakini ma-speculators walikimbia.
Sasa mwenendo wa CRDB huko DSE unawapa watu tumbo joto, na licha ya Minong'ono yote ya jana, CRDB bado hawajatoa Press release yeyote.
Wawekezaji mjipange kisaikolojia. Ila wadau ambao hamjawahi kununua Hisa CRDB, zikishuka chini ya Tsh 800, hiyo ndio 'entry point' ya kununua!🔥🔥🔥

Screenshot_20250915-120832_1.png
 
Mimi nahisi hawa wanataka ku liquadate hela zote tulizonunua hisa na kuwekeza kwao
 
What if crdb ika-collapse na hidalgo zake zisipande tena?
 
Shida ya humu ni watu wengi kuwa na dharau na masimamango. Kwa kumbukumbu zangu kama week 4 nyuma kuna mdau alitoa tahadhari wale wenye hjsa zao CBRD waziuze kwa vile kuna upepo sio. Watu kama kawaida yao wakanmnanga mtoa uzi.
 
Back
Top Bottom