Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
- Thread starter
- #21
😂kwamba wale ni ng'ombe wa kafara?Huyu jamaa anapenda sana kufanyia kafara zake Arusha
😂kwamba wale ni ng'ombe wa kafara?Huyu jamaa anapenda sana kufanyia kafara zake Arusha
Ngoja uone jamaa atakavyong'aa😂kwamba wale ni ng'ombe wa kafara?
Nchi hii ina mambo ya kiquma sanaWakuu kuanzia jana naona vyombo vingi vya habari vilianza kurusha kuwa Paul Makonda atachukua fomu kesho (ambayo ndiyo leo) ikatangazwa uwepo wa nyama choma nk.
Leo siku ya tukio 26 Aug, 2025) ameenda kuchukua fomu akifuatana na nyomi ya watu ikiwa na ngu za chama lakini kubwa zaidi zikiwa na jina lake. Vyombo vya habari vimeendelea kupaza sauti na kelele kwa wingi kiasi kwamba ukiingia mitandaoni leo haswa Instagram kwa kiasi kikubwa ametamalaki yeye tu.
Nilichokuwa najiuliza
A) Anataka kuonesha nini? Je kuna mtu ana kisasi naye kwahiyo anamtambia ama?
B) Gharama anazotumia ni kutoka wapi? Je ni mfukoni mwake?
C) Na kama ni mfukoni mwake anategemea return gani? Kwamba ubunge ni biashara kubwa kiasi hiki?
===
Nyama choma
View attachment 3453922
Kofia zenye jina lakeView attachment 3453935
Mabango
View attachment 3453944
Time will tell Mkuu, japo inatafakarisha sana aseeNgoja uone jamaa atakavyong'aa
Amen MkuuKila mtu afanikiwe katika Hustle zake, hilo ndo neno langu.
Akawekewe pingamizi kuanza kampeni kabla ya mudaWakuu kuanzia jana naona vyombo vingi vya habari vilianza kurusha kuwa Paul Makonda atachukua fomu kesho (ambayo ndiyo leo) ikatangazwa uwepo wa nyama choma nk.
Leo siku ya tukio 26 Aug, 2025) ameenda kuchukua fomu akifuatana na nyomi ya watu ikiwa na ngu za chama lakini kubwa zaidi zikiwa na jina lake. Vyombo vya habari vimeendelea kupaza sauti na kelele kwa wingi kiasi kwamba ukiingia mitandaoni leo haswa Instagram kwa kiasi kikubwa ametamalaki yeye tu.
Nilichokuwa najiuliza
A) Anataka kuonesha nini? Je kuna mtu ana kisasi naye kwahiyo anamtambia ama?
B) Gharama anazotumia ni kutoka wapi? Je ni mfukoni mwake?
C) Na kama ni mfukoni mwake anategemea return gani? Kwamba ubunge ni biashara kubwa kiasi hiki?
===
Nyama choma
View attachment 3453922
Kofia zenye jina lakeView attachment 3453935
Mabango
View attachment 3453944
WAtu wanakula nyama na kunyamaza huko mkuuAkawekewe pingamizi kuanza kampeni kabla ya muda
I sawa a video, wakiwa wanawekewa hizo nyama yani ni vapande vichache mno.amvavyo hu expect mtu aache majukumu yake na kwenda kusukumana kwenye mstariMtaji wake ni sisi wajinga ambao ujinga wetu unazidi shangaza wanasiasa na wapigaji hata wao hawakujua kwamba wanaendesha malofa
Ujinga uliokithiri,njaa,maradhi bado yanatusumbua kiongozi haya mambo nyerere aliyasemea Ila bado tangu amesema vizazi viwili vimepita tunaelekea cha tatu Ila bado ni changamoto....I sawa a video, wakiwa wanawekewa hizo nyama yani ni vapande vichache mno.amvavyo hu expect mtu aache majukumu yake na kwenda kusukumana kwenye mstari
Kifupi Arusha ndo imeenda hivyo... Itakuwa ya wajinga kama kule LindiWakuu kuanzia jana naona vyombo vingi vya habari vilianza kurusha kuwa Paul Makonda atachukua fomu kesho (ambayo ndiyo leo) ikatangazwa uwepo wa nyama choma nk.
Leo siku ya tukio 26 Aug, 2025) ameenda kuchukua fomu akifuatana na nyomi ya watu ikiwa na ngu za chama lakini kubwa zaidi zikiwa na jina lake. Vyombo vya habari vimeendelea kupaza sauti na kelele kwa wingi kiasi kwamba ukiingia mitandaoni leo haswa Instagram kwa kiasi kikubwa ametamalaki yeye tu.
Nilichokuwa najiuliza
A) Anataka kuonesha nini? Je kuna mtu ana kisasi naye kwahiyo anamtambia ama?
B) Gharama anazotumia ni kutoka wapi? Je ni mfukoni mwake?
C) Na kama ni mfukoni mwake anategemea return gani? Kwamba ubunge ni biashara kubwa kiasi hiki?
===
Nyama choma
View attachment 3453922
Kofia zenye jina lakeView attachment 3453935
Mabango
View attachment 3453944
Kama ndivyo, Sasa mbona kama yeye anatumia mengi sana mkuu? Tofauti na wenzakeKwani yale mabilioni waliyochangiwa ni ya kazi gani mkuu??
Alitengeneza mabilioni haramu enzi za yule mwendawazimu wa chato, huyo nyamitako ni multi billionaire.SWALI HELA ANAPATA WAPI??????????
Kiranja wa Dunia kampiga ban akiwa rais ataendaje kutembeza bakuli mnataka mvae viraka, msiletewe condom, net, na ARV??Mtashangaa huyu ndiye rais wenu