Vigodoro ndio vinini!!!!!!1
akikujibu nieleweshe na mimi tafadhali
NI disko linawekwa mitaani ili watu wakeshe kwenye sherehe mbalimbali humu mitaani naona umenipata kama kwenu hakuna poa.
ameni uswahilini nenda pembezoni mwa miji - kwetu Nyamhongoro hakuna kitu kama hicho; makelele tunaachana nayo tukishavuka St. Mary's school
Vigodoro ndio vinini!!!!!!1
Vigodoro vidogo ambavyo watu hupumzikia nje wakati wa joto..uswahilini..vigodoro vigodoro..karibu UswaZIVigodoro ndio vinini!!!!!!1
akikujibu nieleweshe na mimi tafadhali
Labda akaishi sayari nyingine hata anapopasema watu watajaa na kuanza mambo hayo ya vigodoro
Jambo wanajamvi,kuna kero nyingi zitokanazo na vigodoro ikiwemo kusababisha watu kutolala vipigwapo usiku lakini kibaya zaidi hao wanaoitwa madj kutoa matusi ya nguoni na k usabisha watoto wadogo kuwaiga na kuleta tafrani katika mitaa na watoto hao wasiojua kitu kuadhibiwa na wazazi wao