Hii mbaya zaidi kwenye vigodoro

Jambo wanajamvi,kuna kero nyingi zitokanazo na vigodoro ikiwemo kusababisha watu kutolala vipigwapo usiku lakini kibaya zaidi hao wanaoitwa madj kutoa matusi ya nguoni na k usabisha watoto wadogo kuwaiga na kuleta tafrani katika mitaa na watoto hao wasiojua kitu kuadhibiwa na wazazi wao

Hii ni taarifa au ni muhtasali.......?
Ila hii ilikuwa poa zaidi kama ungeanzia kwa barozi wa mnyumba kumi, sababu kuna wengine hata vigodoro hawa jui umemanisha nini hili jina linafahamika sana kwa wenyeji wa dar lakini mikoani ni msamiati.
Msaada kwa asiye jua vigodoro(disko vumbi)..
 
Kibaya zaidi DJ akimtaka mwanamama hata kama ni mke wa mtu anazima mziki mpaka waelewane ndo mambo yaendelee, ila wanadumisha mila.
 
Ng'egera, unapotaka kusema kitu elezea kwa ufasaha wote tuelewe,, wengine sisi tunaokaa nje ya mazingira yenu kama alivyosema Tutor B hatujui hayo magodoro sijui vigodoro. hebu tiririka....
 
Last edited by a moderator:
Hii ni taarifa au ni muhtasali.......?
Ila hii ilikuwa poa zaidi kama ungeanzia kwa barozi wa mnyumba kumi, sababu kuna wengine hata vigodoro hawa jui umemanisha nini hili jina linafahamika sana kwa wenyeji wa dar lakini mikoani ni msamiati.
Msaada kwa asiye jua vigodoro(disko vumbi)..

Aende Serikali ya mtaa na si huyo mtu uliyemtaja kwenye kipindi hiki cha vyama vingi
 

Attachments

  • 48_bed7.jpg
    48_bed7.jpg
    13.5 KB · Views: 123
Ni miziki ya kudumisha mila lkn huwa inakuwa taarabu au hiyo michiriku.Inapigwa usiku kucha na wengine hata wiki.Huwa wanafanya katika sherehe za kuwafunda/ kuwatoa watoto ndani wanaoingia usichana au kubalehe.Wazaramo na watu wa lindi nadhani wamakonde ndio mila zao

nashukuru kwa kunitoa ushamba...
mara nyingi huwa naona ila sijui kama ndio jina lake
 
Back
Top Bottom