Ng'egera
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 766
- 419
Jambo wanajamvi,kuna kero nyingi zitokanazo na vigodoro ikiwemo kusababisha watu kutolala vipigwapo usiku lakini kibaya zaidi hao wanaoitwa madj kutoa matusi ya nguoni na k usabisha watoto wadogo kuwaiga na kuleta tafrani katika mitaa na watoto hao wasiojua kitu kuadhibiwa na wazazi wao