Hii mbaya sana...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii mbaya sana......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, May 11, 2011.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mwanaume unapewa mkong'oto wa nguvu na mkeo,unakimbilia Polisi,kaunta unaulizwa 'kulikoni?','nimepigwa na mke wangu,angalia ninavyovuja damu kichwani'unajibu huku chozi linakutoka,unaona polisi anaanza kutabasamu kwa mbali na anamminyia jicho askari wa kike.'tukusaidie nini sasa?' anakuuliza kwa zarau.'Naomba pf3' unajibu. ''Kwani wakati anakutwanga we ulikuwa wapi?' anakuuliza kwa mshangao kabisa.'Kanikamata akanibonda' unaitikia,mara unasikia kicheko kwa mbaalii kituoni. Ndo nini sasa hii? Angekuwa mwanamke karipoti kesi ya kupigwa wangu wangu RB inafunguliwa.
  Kinababa hebu tuulizane hapa,ukiiwa 'abused'(kwa lugha ya AD) kimbilio lako wapi? Wenzetu kina mama vikishindikana utasikia wamekwenda kwa Mrema(mid 90's),mara TAWLA,mara TAMWA,mara LHRC,hata mashirika ya kimataifa kibao yapo kwa ajili ya kuwalinda na kuwatetea,hata Bunge sexual offences act ipo kuwalinda wao na watoto,kinababa je ulinzi uko wapi?
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Nimecheka mpaka nimezimia nimezinduka niko hospital dah!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mwanaume kupigwa na mwanamke kwanza ni kashfa, NA DHARAU kubwa kwa nafasi ya mwanaume katika FAMILIA!
  Lakini pia inadhihirisha kuwa mwanaume huwezi kutetea boma lako in case of unexpected event!
  Kwa namna yoyote mwanamke hatakiwi kumzidi nguvu(za kupigana) mwanaume ndani, unless nguvu hizo ziwe za kuongeza kipato cha familia!
  Lakini pia usiombe kuwa na mwanamke anayekutegea ukiwa umelala!...atakufanya hamna anytime!
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  namalizia kufungwa bendeji mwananyamala hospitali kisha nakuja kukupepea.
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  yale yaleeeee ya afande chacha wa central,unaripoti tukio anakwambia 'arroo rimwanaume rinabigwa na kamwanamke' hajui wengine wameoa 'ma giant' wakati wao ni kadogoo.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
 7. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  Ebo [​IMG]....ULINZI UPO MIKONONI MWAKO MWANAUME,
  MWANAUME NI WAJIBU WAKO KUJILINDA NA KUMLINDA MKEO PIA.

  HIVI INAKUWAJE MWANAUME UNAPIGWA NA MKEO?,
  au amekuvizia ukiwa umelala?, amekupiga na kitu kizito ghafla?.

  MIMI NAAMINI MWANAUME UNAWEZA KUPIGWA NA MWANAMKE ULINGONI /BARABARANI NA SI ZAIDI YA HAPO.UKIZINGATIA KUWA MWANAMKE YOYOTE ANA SIFA TOFAUTI NA SIFA YA MKE.

  Lakin eti kwenye ndoa mwanaume unapigwa na mkeo??,
  aah jamani knn iwe hivyo?
  AU KWA VILE SIKU HIZI WANAUME HAMWENDI JANDO PORINI?,Haya ndiyo madhara yake,.
  Na kibaya zaidi mwanaume unadiriki kusema hadharani kuwa umepigwa na mkeo,
  aah jamani BABA /KAKA/WAJOMBA/BABU ZETU mnatupeleka wapi?.
  Kama unaona umeoa mke mbambe basi Unashindwa hata kwenda GYM kidogo ukaongeze kamsuli ka kiuanaume?? ili hata mkeo akikuattack uweze kumdhibiti na kudhihirisha uanaume wako.

  Ikitokea kuwa wewe ndiyo kaka/baba/mjomba/babu yangu unaniambia umepigwa na mkeo,
  utanipa maswali mengi sana kichwani mwangu juu ya uanaume wako.
  MOJA YA SIFA YA MWANAUME NI KUMLINDA MKE WAKE SASA UNAITEKELEZA VIPI IKIWA
  UNAWEZA KUPIGWA NA MKEO??.

  MWANAUME RUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU YA KIUCHUMI/KIUONGOZI,
  LAKIN USIRUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU ZA KUKUPIGA MPAKA UKAFIKIA
  HATUA YA KUKIRI HADHARANI KUWA UMEPIGWA NA MKEO.
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hivi wakati unaoa Baunsa, unakuwa huoni au mke anaupata huo ubaunsa kwenye ndoa??
   
 9. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  Ebo [​IMG]....ULINZI UPO MIKONONI MWAKO MWANAUME,
  MWANAUME NI WAJIBU WAKO KUJILINDA NA KUMLINDA MKEO PIA.

  HIVI INAKUWAJE MWANAUME UNAPIGWA NA MKEO?,
  au amekuvizia ukiwa umelala?, amekupiga na kitu kizito ghafla?.

  MIMI NAAMINI MWANAUME UNAWEZA KUPIGWA NA MWANAMKE ULINGONI /BARABARANI NA SI ZAIDI YA HAPO.UKIZINGATIA KUWA MWANAMKE YOYOTE ANA SIFA TOFAUTI NA SIFA YA MKE.

  Lakin eti kwenye ndoa mwanaume unapigwa na mkeo??,
  aah jamani knn iwe hivyo?
  AU KWA VILE SIKU HIZI WANAUME HAMWENDI JANDO PORINI?,Haya ndiyo madhara yake,.
  Na kibaya zaidi mwanaume unadiriki kusema hadharani kuwa umepigwa na mkeo,
  aah jamani BABA /KAKA/WAJOMBA/BABU ZETU mnatupeleka wapi?.
  Kama unaona umeoa mke mbambe basi Unashindwa hata kwenda GYM kidogo ukaongeze kamsuli ka kiuanaume?? ili hata mkeo akikuattack uweze kumdhibiti na kudhihirisha uanaume wako.

  Ikitokea kuwa wewe ndiyo kaka/baba/mjomba/babu yangu unaniambia umepigwa na mkeo,
  utanipa maswali mengi sana kichwani mwangu juu ya uanaume wako,ntalazimika kuongea na wewe kwa kirefu sana ksb hata maswali ya kuuliza yatakuwa mengi sana.
  MOJA YA SIFA YA MWANAUME NI KUMLINDA MKE WAKE SASA UNAITEKELEZA VIPI IKIWA
  UNAWEZA KUPIGWA NA MKEO??.

  MWANAUME RUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU YA KIUCHUMI/KIUONGOZI,
  LAKIN USIRUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU ZA KUKUPIGA MPAKA UKAFIKIA
  HATUA YA KUKIRI HADHARANI KUWA UMEPIGWA NA MKEO.
   
 10. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  NA HUENDA ANAKUPIGWA NA MKEO MBELE YA WATOTO WAKO WA KIUME/ KIKE,
  HAPO BABA UTAKUWA UNATOA FUNZO
  KWA WATOTO WAKO WA KIKE KUWA, WAKIWA WAKUBWA RUKSA KUWAPIGA WAUME ZAO,
  PIA KWA WATOTO WA KIUME RUKSA KUPIGWA NA WAKE ZAO.......lol

  POLE SANA KWA KUOA MWANAMKE NA SIYO MKE.
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mnunu ungejua!Naomba nikuhakikishie katika hadhara hii ya MMU kuwa waume kibao wanakung'utwa na wake zao,au unataka tutaje majina?chunguza utaniambia,na hii attitude hii ya mme hawezi pigwa ndo inafanya wanaume wawe kimya huku wanaumizwa,fuatilia utaona.
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu kwani wakati wa malavidavi ya uchumba hayo utayajua kuwa behind her smiling face there is a viscious heart,si mpaka mkae kwanza ndo uanze kula kibondo?
   
 13. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  WAT?? hapo kwenye bold.......
  Siamini kabisa, anaanzaje kukupiga?
  Shambulio la ghafla au?,
  umelala anakuvizia au?,
  umelewa sana?,
  unaumwa malaria kali sana?,
  au so siri sielewi kabisa? anakupiga piga pigaje??,
  PLZ! naomba unambie hasa kwa kutumia mfano wako wewe,
  UMEPIGWAJE MPENDWA???
   
 14. CPU

  CPU JF Gold Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haya ya vicheko unajua zinaashiria nini???
  Ndo DHARAU anazosema PJ
  Mwanamke anaweza akakudhuru kwa kukuwekea sumu au kukuvizia na kukupiga na kitu kizito mfano kichwani
  Lakin ngumi yake ngumi yangu anidunde??????
  Labda mwanamke awe hivi
  [​IMG]

  Na mwanaume awe

  JOKEBELLY.JPG
   
 15. e

  ejogo JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Aaah wapi! labda umwachie tu akupige kwakuwa yeye ni weak.
   
 16. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hili ndio jibu........... tena ole wako unikute mimi nyuma ya kaunta ya polisi, utajuta kwa nini ulikuja kutoa taarifa........... hakyanani nakulaza selo kidogo kwa uzembe!!............ kama ni matibabu utaenda baada ya kunyea debe japo siku mbili hivi na PF3 labda mkeo aje kukuombea, sikupi ng'o..................... !!! pambafffff kabisa...................
   
 17. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  asante sana akili kichwani,
  umezidi kudhihirisha kuwa ni kweli kwa 100% una akili kichwani,
  safi sana mkuu.
   
 18. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  [​IMG]


  HII NGOMA??? AU TUMBO??
  Ningekuwa kwetu ningeita ling'oma.....lol
  Na huyu LAZIMA APIGWE......lol
   
 19. CPU

  CPU JF Gold Member

  #19
  May 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni nashangaa sioni kitovu chake????
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  May 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Mie niko Mwananyamala ndo nitatoka kesho niko ok kwa sasa
   
Loading...