Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 562
Huo ndiyo uhuni wa ccm,kwenye kampeniya urais walituahidi litashughulikiwa lakini wametuona sisi kama watu wasio na akili,wametufanya ngazi ya kufanikiwa malengo yao ya kisiasa.
Hapo sasa inabidi tubadilike habari ya kutumiwa kama ngazi na wanasiasa kwa malengo ya vyama vyao sasa iwe mwisho.
Hili suala ni la kujadili hukohuko misikitini na sio kwenye mambo ya katiba. Ibada za dini mbalimbali zitajadiliwaje ndani ya katiba jamani ?