...kaka wanasiasa pia wana mawakala wao miongoni mwetu ambao ni wengi katika maimamu na masheikh wetu...! lazima tuwaambie mbele ya nyuso zao kwamba "sisi waislam tunataka siasa ya kiislamu, na si uislam wa kisiasa"...!....ktk nchi yetu, waislam kwa umoja wetu, hatutakuwa na matatizo na serikali wala wenzetu wasiokuw waislam kama tu, tutasimama katika siasa ya kiislam, na kuachana na uislam wa kisiasa ambao tunaushuhudia miongoni mwa "wanasiasa na vibaraka wao ktk misiki yetu".....!
mambo yote yanafanyka kama ALLAH alivyo kadiria mahakama ya kadhi muda wake ukifka tuta ipata tu. assalam alykum
....kaka na dada zangu ktk imani ya kiislamu..! tumeshagawanyika mno! wanasiasa na viongozi wetu wameshatugawa mno! ukikaza jicho "usawa wa kati, mbele", utaona kuzungumzia mahakama ya kadhi ktk katiba ni fimbo ya kisiasa inayotumiwa na wanasiasa (naam!) na vibaraka wao waliojivika uimamu, na usheikh kuchapiana kwa sababu za kisiasa zaidi!...la msingi hapa ni moja tu!...TUNAIHITAJI KWA DHATI KABISA MAHAKAMA YA KADHI?...kama jibu ni: "Naam..tunaihitaji", basi na tuiunde wenyewe! hatuwezi shindwa!..lkn (1:LAKINI 2:LAKINI 3:LAKINI)...sisi wenyewe tunayoihitaji, tuwe na imani thabit ktk "emaan", na insha allah, ktk mahakama, na mahakimu wake na hukumu, na maamuzi yatakazokuwa yakitolewa katika mahakama hizo...kisha tuone...yule atakaedharahu......na sisi (KATIKA UMOJA WETU WA KIIMANI KTK HILI) tutamfanya mfano "KIMAKWELIKWELI"....
hili la mahakama ya ardhi mlilipigia kelele na nani! mlishambiwa ruksa kulianzisha but lisitegemee mkono wa serikali, coz ni mambo ya kiislamu hayo!
Kwa sasa mimi naona suala kubwa litakuwa kwenye serikali ya tanganyika... hapo ndipo penye shoka kukatika mpini... i can see the watu wanavyotunisha misuli kwenye serikali ya tanganyika... yaani ccm hapo ndio inaweza kupiga bao... nawaonya kuwa macho yote yawe kwenye serikali ya tanganyika itakayoongoza watu mil 43.... rais wa tanganyika atakuwa na nguvu kuliko wa jamhuri... bunge la tanganyika litakuwa na ushawishi mkubwa kuliko na hata la jamhuri... tanganyika itakuwa na wabunge wangapi? mawaziri wangapi? raisi atakuwa nani? toka chama gani? naam hapa sasa ndio kazi ipo.... tujipangeHili la mahakama ya kadhi limekaaje mbona tulihamasishana sana lakini kwenye rasimu ya katiba limekwepwa
Huo ndo udini tusioutaka.
Hiyo haikuwa rasimu ya kidini.
Kila dini ijiwekee utaratibu wake wa kiuongozi bila kuihusisha katiba ya nchi
Waislamu walishiriki katika kutoa maoni kuhusu kurejeshwa Mahakama ya Kadhi lakini hakuna aliyetegemea kuwa Warioba atatupa Mahakama ya Kadhi!
Ninachotaka kusema ni kuwa hakuna jipya! ilitegemewa na Waislamu kuwa suala la Mahakama ya Kadhi litatupwa, lakini kama wasemavyo wazungu There is always plan B.
mbona Kenya iliwezikana kuwekwa kwenye katiba?
Mahakama ya kadhi imeshaanza kazi nchini lakini waislamu wa mlengo wa PONDA wanapinga mahakama hiyo kuwa chini ya BAKWATA ambayo tayari imeteua kadhi mkuu na makadhi wa mikoa kwa maelezo kwamba BAKWATA ni chombo cha serikali lakini hao hao wanataka mahakama ya kadhi iwe chini ya serikali.
Hili la mahakama ya kadhi limekaaje mbona tulihamasishana sana lakini kwenye rasimu ya katiba limekwepwa
Niliwai kusikia mawaidha kwenye Msikiti wa Mtambani Kinondoni, wakihamasishana kuwa wahakikishe madai yao yanashughulikiwa kabla Kikwete hajamaliza muda wake, kwasababu hawajuai Rais ajaye atakuwa wa dini gani.
mbona Kenya iliwezikana kuwekwa kwenye katiba?