Ukweli na Uwazi
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 122
- 54
Katika mambo ambayo tume wameliokoa taifa kwenye mtafaluku ni suala la mahakama ya kadhi. Nampongeza sana Jaji warioba and I say BIG UP. Halafu vilevile ILUNGA namkumbusha asome ibara ya 31(5) ya rasimu bila kusahau.