Huo ndiyo uhuni wa
ccm,kwenye kampeniya urais walituahidi litashughulikiwa lakini wametuona
sisi kama watu wasio na akili,wametufanya ngazi ya kufanikiwa malengo
yao ya kisiasa.
Hapo sasa inabidi tubadilike habari ya kutumiwa kama ngazi na wanasiasa
kwa malengo ya vyama vyao sasa iwe mwisho.
Wala usilalamike siasa mlifanya misikitini mmalizane huko huko na ccm yenu.