Hii kweli inawezekana?

Hii kweli inawezekana?

Hata kama kaoga lazma amebaki na kaharufu ka sabuni ya EVA
Haahha sabuni za guests zote hapa mjini ni eva [emoji33] Asante kwa kunipa hiyo taarifa mimi nilikuwa bado sijagundua
Evelyn we ni mkali [emoji28]
Inaacha kuzitumia kwa kweli
 
Nijikute nachepuka alafu naogea Eva huwa nanunua sabuni inayofanana na ninayotumia home mii sii fala [emoji15] [emoji15] [emoji125]
Lazima utapauka usoni...mafuta ya nyumbani nayo utakuwa nayo? [emoji13] [emoji13]
 
Hahahahahaha harufu ya papunch ikoje kwan
Kuna rafiki yangu hapa ananiambia ukitoka kufanya unabaki na harufu kama ya mchanganyiko wa ukwaju na vitungu swahumu [emoji15] duh inabidi nifanye research [emoji848]
 
Back
Top Bottom