Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,097
Kuolewa siyo lazima, simama na msimamo wa kutoolewa uwe huru kabisa ukitaka kukesha club hata siku mbili mfulululizo ruksa, kwa nini ujibane na ndoa?.Suluhisho hapa ni kutokupokea mahari ili binti awe huru anapokuwa kwenye ndoa
Ikitokea binti yako anazuiwa na mumewe kuja kwako, na ni miaka 5 imepita hamjaonana; utamfanyaje?Usiadhani mahari ndo inatoa mandate kwa mume kuwa mume. Ni ile hali ya wewe kusema nenda kaishi naye, full stop. Otherwise tungekuwa na fixed figure ya mahali. Ndiyo maana kuolewa, mahali naanzia 0 hadi mamilioni, lakini mume atapewa nafasi ile ile regardless of the amount ya mahali
Ndipo unasikia binti yako uliyemgharamia, ameuliwa na mumewe; utamfanyaje huyo mumewe?Kuolewa siyo lazima, simama na msimamo wa kutoolewa uwe huru kabisa ukitaka kukesha club hata siku mbili mfulululizo ruksa, kwa nini ujibane na ndoa?.
Kwa akili hizi usithubutu kuolewa unaweza kwenda kuuwawa kabisa, kuna wanaume hawana muda wa kubishana na Mwanamke mjuwaji.
Mwamba hapo huna cha kufanya zaidi ya kuomba vikao vya suluhu tu..!! Maana mpaka ugomewe hivyo, kuna jambo, si bure. Mwombe mkweo ikishindikana shirikisha wazazi wake..!Ikitokea binti yako anazuiwa na mumewe kuja kwako, na ni miaka 5 imepita hamjaonana; utamfanyaje?
Kwani ni investment? In this regard, purely umeuzaDawa kumtoza mtu ng'ombe hata 50 usimpeleke binti yako kihasara wapigwe mahari kubwa urudishe hata robo ya pesa uliyotumia kumlea.
Yana mwisho hayo..!! Kila kitu kina umri. ATafikia tu umri wa kujutia maamuzi yake..!!Kuolewa siyo lazima, simama na msimamo wa kutoolewa uwe huru kabisa ukitaka kukesha club hata siku mbili mfulululizo ruksa, kwa nini ujibane na ndoa?.
Kwa akili hizi usithubutu kuolewa unaweza kwenda kuuwawa kabisa, kuna wanaume hawana muda wa kubishana na Mwanamke mjuwaji.
Huu ni ushauri kwako wewe mjuwaji, usithubutu kuolewa.Ndipo unasikia binti yako uliyemgharamia, ameuliwa na mumewe; utamfanyaje huyo mumewe?
Kwani ni investment? In this regard, purely umeuza
Ukihusisha fedha is no longer a barter trade. Ni commodity kwa commodityBarter trade tunafnya sio kizembe
Vipi mkuu alikujibu hili swali?Labda nikuulize kabla sijatoa mawazo yangu, hapo kwako mke wako hua unamruhusu kwenda kila mara akiitwa?
Dah! Alijibu lakn nlichogundua yuko kwenye denial. Hataki kuamini lakn ndo ukweli wenyewe kuwa ruhusa ya mume n lazmaVipi mkuu alikujibu hili swali?
Na hapa ndipo mnapowaloga mabinti zenu. Pesa inauma na atakayeumia hapo ni binti yako sio wewe. Mbona mme kamchukua binti bila wazazi wabinti kutoa kitu. Hamna bora kati ya mme wala mke wote ni binadamu, sasa wewe jikweze uje umuharibia binti yako. Nachakufikirisha zaidi, mara myingi mwanaume anakuwaga financially stable zaidi kumzidi mwanamke kwasababu mwanamke hakubali kuolewa na wachini wa level yake. Pesa sio gharama ya maisha ya mtu, tutawaaribu mabinti zetu na kusingizia utandawazi. Kweli dunia imebadilika.Dawa kumtoza mtu ng'ombe hata 50 usimpeleke binti yako kihasara wapigwe mahari kubwa urudishe hata robo ya pesa uliyotumia kumlea.
Wewe ulikuwa wapi mpaka akauliwa. Maana ukichunguza matukio yote yamauaji kuna tabia chafu zilikuwa zinaendelea na hamna hata mmoja aliyezishughurikia. Leo kauawa ndio unajifanya baba mwema, msiingilie ndoa za watoto wenu kwavitu vya kiutandawazi actually kwalengo laufeminist, mtazivunja ndoa kabisa na watoto wakike wabaki kuchezewa.Ndipo unasikia binti yako uliyemgharamia, ameuliwa na mumewe; utamfanyaje huyo mumewe?
Ukifanya mzaha utashinda nae sebuleni milele... Baba mpya Ni mmewe uangalizi na Mambo yote ni kwa mmewe ndio Mana jina la mzazi hutolewa na kuwekwa la mmeweKwa hiyo mkuu, unaruhusu baharia ampangie mtoto wako ni lini aje akujulie hali?
Umepambana kumlea na kumsomesha mtoto wako wa kike, mpaka akafikia hatua fulani ya elimu; iwe cheti, diploma, degree, masters, PhD, au u-profesa. Baada ya hapo, akaolewa na akawa na mji wake.
Changamoto: Leo hii unataka binti yako aje akusalimie nyumbani; itamlazimu mpaka aombe ruhusa kwa mumewe, na amruhusu, ndio aweze kufika, asiporuhusiwa hatokuja kukujulia hali.
Swali: Hii kwako unaichukuliaje, ukiangalia wewe ndio mzazi, uliyemlea na kumgharamikia elimu; lakini cha ajabu, leo mtu baki ndio anayempangia aje akuone ama asije kukuona?
Exactly!!Inshort usimruhusu aolewe....atakuja kukutembelea utakavyo