Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 641
nikajua dumeHuyo ni mwanamke hivyo lazima asema hayo
Umepambana kumlea na kumsomesha mtoto wako wa kike, mpaka akafikia hatua fulani ya elimu; iwe cheti, diploma, degree, masters, PhD, au u-profesa.
Baada ya hapo, akaolewa na akawa na mji wake.
Changamoto: Leo hii unataka binti yako aje akusalimie nyumbani; itamlazimu mpaka aombe ruhusa kwa mumewe, na amruhusu, ndio aweze kufika, asiporuhusiwa hatokuja kukujulia hali.
Swali: Hii kwako unaichukuliaje, ukiangalia wewe ndio mzazi, uliyemlea na kumgharamikia elimu; lakini cha ajabu, leo mtu baki ndio anayempangia aje akuone ama asije kukuona?
nikajua dume
Labda nikusaidie naona unazunguka zinguka tu, ulitakiwa uulize ni nini maana ya send off?Umepambana kumlea na kumsomesha mtoto wako wa kike, mpaka akafikia hatua fulani ya elimu; iwe cheti, diploma, degree, masters, PhD, au u-profesa.
Baada ya hapo, akaolewa na akawa na mji wake.
Changamoto: Leo hii unataka binti yako aje akusalimie nyumbani; itamlazimu mpaka aombe ruhusa kwa mumewe, na amruhusu, ndio aweze kufika, asiporuhusiwa hatokuja kukujulia hali.
Swali: Hii kwako unaichukuliaje, ukiangalia wewe ndio mzazi, uliyemlea na kumgharamikia elimu; lakini cha ajabu, leo mtu baki ndio anayempangia aje akuone ama asije kukuona?
Si ulichukua mahari!!!?Swali: Hii kwako unaichukuliaje, ukiangalia wewe ndio mzazi, uliyemlea na kumgharamikia elimu; lakini cha ajabu, leo mtu baki ndio anayempangia aje akuone ama asije kukuona?
Kabisa.Na kama kuna mahusiano mazuri ataombwa mumewe baada ya kusalimiana,kwanza hatabagua kwa kuwaomba wote wamtembelee.Kama mwanaume yuko bize atamruhusu mke wake aende peke na samahani nyingi kwa mkwe.
Kwa mtazamo huo, Ina maana ile mahari uliyoipokea, ndio iliotumika kama kumuuza binti kwa mumewe?KASHAOLEWA YUPO CHINI YA UANGALIZI MWINGINE NA MAMLAKA MENGINE (KAMA AMBAVYO ULIKUBALI KUMUOZESHA)
HAWEZI KUTOKA KIENYEJI ENYEJI TU MKUU, LAZIMA AOMBE RUHUSA KWA MUMEWE
Wewe hapo ulipo naamini wife wako hawezi akajitokea tu bila ruhusa na bila kutoa taarifa..akifanya hivyo tunaita ni dharau na kutomtii mume
Kwa hiyo mkuu, unaruhusu baharia ampangie mtoto wako ni lini aje akujulie hali?Acha uchungu baba timiza wajibu... Akiolewa sio wako.
Tupe maanaLabda nikusaidie naona unazunguka zinguka tu, ulitakiwa uulize ni nini maana ya send off?
kwa hiyo mkuu, Mahari ni sawa na kumuuza binti?Si ulichukua mahari!!!?
Wakija kuazima ile mahari waliyokupa utawapa?
Kwa niniAcha kumtegemea binadamu. Utalaaniwa
Kwanza rekebisha hilo neno la "mtu baki". Mkweo sio mtu baki, mwenyewe anakuita baba mkwe au mama mkwe, ni mzazi wake, babu/bibi wa wanae.Umepambana kumlea na kumsomesha mtoto wako wa kike, mpaka akafikia hatua fulani ya elimu; iwe cheti, diploma, degree, masters, PhD, au u-profesa. Baada ya hapo, akaolewa na akawa na mji wake.
Changamoto: Leo hii unataka binti yako aje akusalimie nyumbani; itamlazimu mpaka aombe ruhusa kwa mumewe, na amruhusu, ndio aweze kufika, asiporuhusiwa hatokuja kukujulia hali.
Swali: Hii kwako unaichukuliaje, ukiangalia wewe ndio mzazi, uliyemlea na kumgharamikia elimu; lakini cha ajabu, leo mtu baki ndio anayempangia aje akuone ama asije kukuona?
Nitaichukulia kawaida tu kwa sababu;Umepambana kumlea na kumsomesha mtoto wako wa kike, mpaka akafikia hatua fulani ya elimu; iwe cheti, diploma, degree, masters, PhD, au u-profesa. Baada ya hapo, akaolewa na akawa na mji wake.
Changamoto: Leo hii unataka binti yako aje akusalimie nyumbani; itamlazimu mpaka aombe ruhusa kwa mumewe, na amruhusu, ndio aweze kufika, asiporuhusiwa hatokuja kukujulia hali.
Swali: Hii kwako unaichukuliaje, ukiangalia wewe ndio mzazi, uliyemlea na kumgharamikia elimu; lakini cha ajabu, leo mtu baki ndio anayempangia aje akuone ama asije kukuona?
Kwenye hili kwa kweli wewe haupo sawaMpaka tujadiliane; ingawa mi naona haiko sawa, ndio maana nimeleta mada tuijadili
NaNUKUU..... napitia hapa kwa baba mara moja... mwisho wa kunukuu...!! NDIYO RUHUSA YENYEWEKwanza rekebisha hilo neno la "mtu baki". Mkweo sio mtu baki, mwenyewe anakuita baba mkwe au mama mkwe, ni mzazi wake, babu/bibi wa wanae.
Pili, siamini kuwa watu walioko katika ndoa huwa wanaombana ruhusa kwenda kuwasalimia wazazi wao. Naamini kuwa kama wanaishi mbali nao, huwa wanapanga pamoja na kukubaliana ratiba na mambo mengine yanayohusu ziara hiyo. Kama wanaishi karibu wanataarifiana tu kuwa napitia hapa kwa baba mara moja, poa.
Sidhani kama kuna mwanaume anamzuuia mkewe kwenda kuonana na wazazi wake labda kama ana yake binafsiMpaka tujadiliane; ingawa mi naona haiko sawa, ndio maana nimeleta mada tuijadili