Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Basi uichome kwa moto utie pilpili na nyanya na kitunguumaji basi raha tupu jamani nitaipata wapi hii mihogo jamani????????????
Asante bibie nitakupa inshallah miaka mingi hiyo kitu sijala yapata miaka 20 sasa nipo Ughaibuni Nime i miss sana MadameXMziziMkavu , nipe address yako nikutumie, mambo ya kutamani si mazuri.......
MziziMkavu vipi kuhusu CYANIDE iliyomo humo ndani haina madhara??Ninasikia inaongeza Nguvu za kiume ni kweli mkuu Amavubi?
Mkuu KataviMziziMkavu vipi kuhusu CYANIDE iliyomo humo ndani haina madhara??
aawww nimesuhuzika roho yangu MziziMkavu!
muhogo wa jang'ombe!! ladhaye chiboko, mie naula huo usiku sana, au alfajiri sana!!
teh teh... mechekaje thatha!!!!
Asante bibie nitakupa inshallah miaka mingi hiyo kitu sijala yapata miaka 20 sasa nipo Ughaibuni Nime i miss sana MadameX
Ulaya hii kitu ni kama dhahabu hakuna kabisa mpenzi Madam X. Udenda unanitoka hapa nilipo wachaaaaaaaaaa wabongo mnafaudu kabisa.
Asante bibie nitakupa inshallah miaka mingi hiyo kitu sijala yapata miaka 20 sasa nipo Ughaibuni Nime i miss sana MadameX
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ulaya hii kitu ni kama dhahabu hakuna kabisa mpenzi Madam X. Udenda unanitoka hapa nilipo wachaaaaaaaaaa wabongo mnafaudu kabisa.