Hii kitu ninaitamani sana

Hii kitu ninaitamani sana

mihogo%2Bya%2Bkuchemsha.JPG

hii kitu ipo poa, :tonguez:
 
Mkuu MziziMkavu kwanza kula tano kwa kutukumbusha chakula hiki adimu.

Umenikumbusha enzi zetu pale Forodhani nilisoma miaka ile ya mwishoni wa sabini na mwanzoni mwa themanini.

Pale shuleni palikuwa na mzee mmoja maarufu sana alikuwa akiitwa mzee Mselemu. Alikuwa alikuwa hakaangi mihogo bali alikuwa akiichemsha halafu anakuwekea kachumbari. Hiyo ndio ilikuwa sifa kubwa ya mihogo ya mzee yule.

Sasa mapumziko yalikuwa saa nne asubuhi na utakuta tayari nje ya kibanda chake pana mistari tayari watu wakigombania mihogo ile.
 
Back
Top Bottom