hii kitu mmmmmh!!

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
hii ki2,hii ki2,hii ki2.inafanya wa2 wanabadili dini,inafanya wa2 wajinyonge,inasabisha watoto wamitaani,ningekuwa na uwezo ningeiondoa. hii ki2,hii ki2 jamani inanini wapo walio kimbia katika hii dunia sababu ya hii ki2,wapo waliacha mautajiri sababu ya hii ki2,hii ki2 imewafunga wakina babu seya na wengine wengi wanaozea jela hii ki2 inanini jamani baba hapendi.
 
naona kuna mabadiliko kidogo yaliyonipelekesha hadi now nandika kupitia ile formar ipatikanayo ktk vimeo ndiyo nimeweza.
on topic... Hiyo ni kitu gani?
Inaonekana umekusudia ile ya famale. Au ni ile instrument ya making hondomolation bila ya kubagua sex? Kama ile jua haina shehe wala mchungaji.
 
kwa nini hujamaliza kuwa ki2 kina wanafanya watu kuingia kweye Forum hii kila siku kabla ya kunywa chai ..sometime wasipoingia wanajiona hawajaingia JF forum..na wameshia nje..
 
hii ki2,hii ki2,hii ki2.inafanya wa2 wanabadili dini,inafanya wa2 wajinyonge,inasabisha watoto wamitaani,ningekuwa na uwezo ningeiondoa. hii ki2,hii ki2 jamani inanini wapo walio kimbia katika hii dunia sababu ya hii ki2,wapo waliacha mautajiri sababu ya hii ki2,hii ki2 imewafunga wakina babu seya na wengine wengi wanaozea jela hii ki2 inanini jamani baba hapendi.
Mbona umechanganya sukari na chumvi..................bab seya kweli kwa ile dhambi angeweza kuzaa watoto?.............me. am just asking.
 
hii ki2,hii ki2,hii ki2.inafanya wa2 wanabadili dini,inafanya wa2 wajinyonge,inasabisha watoto wamitaani,ningekuwa na uwezo ningeiondoa. hii ki2,hii ki2 jamani inanini wapo walio kimbia katika hii dunia sababu ya hii ki2,wapo waliacha mautajiri sababu ya hii ki2,hii ki2 imewafunga wakina babu seya na wengine wengi wanaozea jela hii ki2 inanini jamani baba hapendi.

inji yetu iliuzwa kwa waarabu kwa ajili ya ile kitu, walipopata walichotaka mkulu kanyanganywa mke hahahaha hii kitu hii kitu...
 
hii ki2,hii ki2,hii ki2.inafanya wa2 wanabadili dini,inafanya wa2 wajinyonge,inasabisha watoto wamitaani,ningekuwa na uwezo ningeiondoa. hii ki2,hii ki2 jamani inanini wapo walio kimbia katika hii dunia sababu ya hii ki2,wapo waliacha mautajiri sababu ya hii ki2,hii ki2 imewafunga wakina babu seya na wengine wengi wanaozea jela hii ki2 inanini jamani baba hapendi.
Gani tena iyo kitu manake unavyoielezea unanitisha kakaaaa!???
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom