Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 802
- 570
Sounds so gud to watch it!...(unazo hz dvd nini carmel tukuungishe.)!!
Watu wanaingia kwenye ndoa wakiwa skeptical, hata ukiangalia happa JF, posts nyingi za wanaotaka kuingia kwenye relations hizi zinakuwa na hali ya machale sana juu ya uamuzi wao.
Kwa wenye dini, dawa yake ni rahisi, kuomba mke toka kwa Mungu, ili akupe mtu mtakayefanana, na hivyo kuachana na haofu zote na hasira zisizokuwa na sababu.
Maisha ya kukaa na hasira kifuani ni hatari mno kwa ndoa, maana hakuna ajuaye zitalipuka saa ngapi, na adha yake itakuwa nini.
We should not step into marriage in a trial manner, this is 'once and for all'-thing!
Nitatafuta hii movie..interested!
PJ Wengine wanaingia kwenye ndoa maana ni fashion ...all my friends are getting hitched...
Kuna street saying --Marriage in haste repent at pleasure...