Hii Kitu Inaogopwa ile mbaya

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
528338_195341700579224_665148625_n.jpg
 
Wewe mbuzi mzee hiyo kitu inaogopwa na wale ambao haijaandaliwa kwa ajili yao, lakini kwa wahusika mbona poa tu! Hakuna hata mmoja aliyewahi kataa kutinga "kutingishwa" kwenye hiyo kitu.
 
Kuishi ni kristo kufa ni faida. Siku ikifika unahesabu faida na sherehe kwa watakatifu.
 
Anaeiogopa hiyo huyo anatamaa ya kuishi milele, kitu ambacho hakiwezekani. Siku, saa, dakika yoyote tunaweza kuondoka kuelekea huko bila taarifa.
 
Anaeiogopa hiyo huyo anatamaa ya kuishi milele, kitu ambacho hakiwezekani. Siku, saa, dakika yoyote tunaweza kuondoka kuelekea huko bila taarifa.

Ila magamba wao wanafikiri wataishi milele
 
Duh binadam tuna safar ndefu na ya lazima..

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom