Hii kitu hatari jamani... Tujitahidi kuacha...

Hii kitu hatari jamani... Tujitahidi kuacha...

Sipati picha hiyo siku itakavyokua. Tutawaona na wale wanaofanya mambo ya aina hii sirini na jamii inawaita wenye akili.

hahahaaa...... Dada mkubwa shkamoo! ndio uje ukutane na mtawa kazini mara elfu lol!
 
Kabisa mkuu,
Ndo maana hii mambo mi nahisi inacontroliwa na nguvu za ziada...
Bila shaka hii kichwa ya chini ikishapata moto inakuwa connected kidigitali na nguvu fulani hivi nje ya miili yetu...lol

'Theory' zinasema kuwa hivyo vichwa viwili huwa havifanyi kazi kwa wakati mmoja, kimoja kikiwa kazini kingine kina-cease.
 
kwa hiyo hata wakati unatenda dhambi kwa makusudi kabisa,ukimuomba Mungu anasikia na kujibu?
maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu
asiyasikie kwani umesikia mungu ni mwallu au asakuta same ,,,,,,,,,

acha kumfikiria Mungu katika level ya mwanadamu mkuu,,,,,,,,,,,,
 
Tuko hivi huyo jamaa yako alitumia kinga? au amefuta tu namba za simu
Mtu hata bao moja anakuangukia kifuani kuna afya hapo???
Maana haya madawa ya ARV's lazima uchoke
Vifo vya kufia Guest vimezidi siku hizi jamani tuwaachie hawa watoto wa Facebook bado wanatoa tuwi la nazi

Mkuu hapa umenishtua kidogo...
 
Ndo sasa watu wajue kuwa biashara ya magendo inalienable sana ukiacha vitimbwi vyake!
 
Huyo atrudia huo mchezo na huyo mwnamke ila jamaa yako ana roho ngumu kurudia mechi bafuni kweli ukionja asali utachonga mzinga.
 
mkuu Tuko huyo jamaa yako sijui nimuite jasiri au ana ugonjwa wa hayo mambo??????????yaani licha ya hekaheka alizopitia muda mfupi tu anasahau na kuendeleza sebene!!!!!!!!!!!!nipo mdomo wazi hapa nashangaa jinsi alivyo jasiri.

na inavyoonekena jamaa yako hawezi kuacha hiyo tabia kwani kama alipata nguvu na ujasiri wa kuendela na shughuli licha ya timbwili lililokuwa limepita muda mfupi tu,jambo ambalo limgemletea aibu,jela na kupoteza familia yake,jambo gani lingine litamfanya aogope na kuona kuwa hizo tabia zake sio nzuri?????????????
 
Last edited by a moderator:
hii kali, ahahahaaha, Tutaacha ila kuonja nje kidogo sio mbaya ili uendelee kumpenda mkeo
 
Hivi wanaojenga minara ya simu wakianguka na kufa inakuwaje? Imagine akikufia mkeo inakuwaje? Sioni tatizo ndoa si jela ati usipate ladha tofauti! Sometimes mbona unakacha msosi home wala hoteli halafu unaharisha, hapo utasemaje?

Hahahahahah! Just kidin
hayo unayaongea kwa kuwa mkeo hajaenda kutafuta ladha tofauti,em tuweke wazi na uuseme ule ukweli siku ukimkuta mkeo anaonja ladha tofauti utamuelewa akikwambia kuwa ndoa sio kigezo cha kukosa ladha tofauti?au unasema si kosa kwa upande wako wewe na kwa mkeo ni kosa?
 
hapana mkuu hapo utakuwa umekosea hatumfikirii Mungu katika levo ya wanadamu lakini mambo mengine Mungu tunamuonea,ni Mungu yupi anayeunga mkono uasherati mpaka afikie hatua ya kukuepusha na matatizo yanayoweza kutokana na uasherati????????????labda kwa kuwa biblia inasema kuna miungu wengi labda hao wenginewengine lakini sio yule aliyetuumba na kutupa sheria za kufuata kama vile usizini na usifanye uasherati,vinginevyo kama ndo yeye atakuwa mwongo na hakiamini kile alichokitolea sheria.
mkuu ukimfikiria Mungu katika level ya uanadamu tunakosea sana,,,,,,,,,,,,
 
kwani ukiacha kuenda nje ndo mkeo utaacha kumpenda pia?au kuna uhusiano gani wa kwenda nje na kumpenda mkeo?
hii kali, ahahahaaha, Tutaacha ila kuonja nje kidogo sio mbaya ili uendelee kumpenda mkeo
 
hayo unayaongea kwa kuwa mkeo hajaenda kutafuta ladha tofauti,em tuweke wazi na uuseme ule ukweli siku ukimkuta mkeo anaonja ladha tofauti utamuelewa akikwambia kuwa ndoa sio kigezo cha kukosa ladha tofauti?au unasema si kosa kwa upande wako wewe na kwa mkeo ni kosa?
Tatizo litakuwa pale tu nitakapo mkuta, maana itakuwa ni dharau, atakuwa ameamua kunionesha dharau za wazi! Every game has rules, kwa hiyo kitu rule number one is " cheat responsibly", hivyo kama kavunja kanuni/sheria ni lazima aadhibiwe, the same applies kwangu!
 
kwa hiyo hata wakati unatenda dhambi kwa makusudi kabisa,ukimuomba Mungu anasikia na kujibu?
maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu

huyo Mungu unayemzungumzia wewe ni yupi?

kwani nijuavyo mimi Mungu ni Mwenye Huruma na ndiyo ilivyoandikwa kwenye vitabu vyote,,,,,,,,,,,,, otherwise kwa attitude yenu hii wanadamu , basi angeleta maangamizi makubwa toka zamani...............

mwacheni Mungu awe Mungu , na siyo kumfikiria kibinadamu.
 
hapana mkuu hapo utakuwa umekosea hatumfikirii Mungu katika levo ya wanadamu lakini mambo mengine Mungu tunamuonea,ni Mungu yupi anayeunga mkono uasherati mpaka afikie hatua ya kukuepusha na matatizo yanayoweza kutokana na uasherati????????????labda kwa kuwa biblia inasema kuna miungu wengi labda hao wenginewengine lakini sio yule aliyetuumba na kutupa sheria za kufuata kama vile usizini na usifanye uasherati,vinginevyo kama ndo yeye atakuwa mwongo na hakiamini kile alichokitolea sheria.

mkuu kama Mungu angekuwa ni wewe basi ulichoandika hapa ingekuwa kweli na zaidi ya yote ungeshaangamiza ulimwengu siku nyingiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!

unadhani Maandiko yalishuka ili kuwaokoa watakatifu au wenye dhambi?
 
hapo sawa kama na we utakutwa na kula adhabu vilevile.
Tatizo litakuwa pale tu nitakapo mkuta, maana itakuwa ni dharau, atakuwa ameamua kunionesha dharau za wazi! Every game has rules, kwa hiyo kitu rule number one is " cheat responsibly", hivyo kama kavunja kanuni/sheria ni lazima aadhibiwe, the same applies kwangu!
 
usijipe moyo mkuu,ni kweli biblia ilikuja kwa ajili ya wenye dhambi lakini sio kwa wale watendao hizo dhambi kimakusudi.

Back
Top Bottom