Adie
Member
- Jul 27, 2013
- 74
- 47
Huwa najuliza kwa nini mtu anashindwa kuwa mwaminifu sipati jibu hata kidogo. Sasa kwa mfano huyo dada angefariki rafikio tayari ameiingiza familia katika matatizo. Jamani turidhike na tulivyonavyo, matatizo yatokanayo na kutokuwa waamnifu ni yakujitakia.
TAMAA ILIMPONZA FISI
TAMAA ILIMPONZA FISI