Hii kitu hatari jamani... Tujitahidi kuacha...

usijipe moyo mkuu,ni kweli biblia ilikuja kwa ajili ya wenye dhambi lakini sio kwa wale watendao hizo dhambi kimakusudi.

inategemea na imani yako ,,,,,,,,,,na tunstofautiana namna tunavyopokea hizo imani.
 
duuuuuuuuu!!!!!!!mkuu umenkumbush kisa kimoja daaa!ila huu mtindo wa kuwarudi wadada mlio telekezana kwa mda mrefu kweli ni hatari sana.
 
Lakini Mkuu Tuko,
Nadhani Jamaa hakuwa na Kosa la Kisheria kufungwa hata Demu (Mungu epushia Mbali) angefariki.
Otherwise kama jamaa alimnyonga huyo Demu ama alimkaba, Vipimo vya Ma Daktari vingeonesha nini kimemuua Huyo Demu.
Fedheha asingeiepuka, Mkewe na Labda Kisasi kutoka kwa Mwenye Mke
 
Last edited by a moderator:
Daaah usaliti nomaa sana , mwambie jamaa aokoke tu, au wewe mkuuu unazuga ni jamaako????
 
Lakini Mkuu Tuko,
Nadhani Jamaa hakuwa na Kosa la Kisheria kufungwa hata Demu (Mungu epushia Mbali) angefariki.
Otherwise kama jamaa alimnyonga huyo Demu ama alimkaba, Vipimo vya Ma Daktari vingeonesha nini kimemuua Huyo Demu.
Fedheha asingeiepuka, Mkewe na Labda Kisasi kutoka kwa Mwenye Mke
mkuu sasa mpaka ifahamike kuwa hakuwa na hatia ni wakati amesota sana jela mkuu!
 
Lakini Mkuu Tuko,
Nadhani Jamaa hakuwa na Kosa la Kisheria kufungwa hata Demu (Mungu epushia Mbali) angefariki.
Otherwise kama jamaa alimnyonga huyo Demu ama alimkaba, Vipimo vya Ma Daktari vingeonesha nini kimemuua Huyo Demu.
Fedheha asingeiepuka, Mkewe na Labda Kisasi kutoka kwa Mwenye Mke

Ila maabusu ingemhusu kwa muda kwa wakati uchunguzi unafanyika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom