Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 849
- 103
Adam alimua kusafiri kwenda Mbali. Akamvika mkewe chupi ya chuma yenye kufuri. Ufunguo wa chupi alimwachia rafiki yake mkubwa na kipenzi kwa maelezo kuwa asiporudi baada ya miaka minne amfungulie mkewe ili aishi maisha ya kawaida. Adam alianza safari yake. Muda si mrefu kabla hajafika mbali akamwona rafiki yake kipenzi anamkimbilia. Akasimama kumsubiri kujua kulikoni. Akauliza: Vipi rafiki yangu? Rafiki akajibu; umenipa ufunguo ambao si wenyewe.