Hii kitu hapa chini haina urafiki?!

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
Adam alimua kusafiri kwenda Mbali. Akamvika mkewe chupi ya chuma yenye kufuri. Ufunguo wa chupi alimwachia rafiki yake mkubwa na kipenzi kwa maelezo kuwa asiporudi baada ya miaka minne amfungulie mkewe ili aishi maisha ya kawaida. Adam alianza safari yake. Muda si mrefu kabla hajafika mbali akamwona rafiki yake kipenzi anamkimbilia. Akasimama kumsubiri kujua kulikoni. Akauliza: Vipi rafiki yangu? Rafiki akajibu; umenipa ufunguo ambao si wenyewe.
 
Do not trust anybody, even your best friend.....hata mkeo au mumeo ila MUNGU tu
 
kweli kabisa, yeye tu ndio mwaminifu.
i like it Kanya.

ina maana we lady hata rafiki yako wa karibu huwezi mwachia mmeo kwa kujiamini kuwa hawawezi fanya lolote!? I mean kwa mfano unasafiri, huwezi mwambia rafikio wa karibu wa kike awe anakuja mara moja moja angalau kusafisha chumba chako na mmeo na vya watoto?!
 
yaani jamaa hajafika hata mbali jamaa kaishajua kuwa funguo cyo yenyewe-mama weeeeeeeeeeee
 
hadithi haijasiha halafu yule bwana alifanyayee. hakujinyonga kweli kwa kamba ya big G. tehe tehe.
 
Huyo rafiki atakuwa siyo Mchaga maana wachaga wako kibiashara zaidi na si kujaribisha fungua za kofuli za mabibi
 
Ahhh wee acha hayo. pesa ni muhimu. bila pesa mfukoni hiyo kitu ya pale chini inakwenda likizo kabisa !
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom